Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Ningependa kufahamu Zaidi kuhusu Nissan Juke na BMW Mini Cooper
Thanks
Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Nissan Juke usijaribu....utalia peke yako. Mini Cooper it's ok. Nilimnunulia wife halikusumbua kabisa Kaka....lipo vema na BMW hawakosei KakaNingependa kufahamu Zaidi kuhusu Nissan Juke na BMW Mini Cooper
Thanks
Thanks Mkuu,Mkuu Nissan Juke usijaribu....utalia peke yako. Mini Cooper it's ok. Nilimnunulia wife halikusumbua kabisa Kaka....lipo vema na BMW hawakosei Kaka
Vipi kuhusu Murano?Mkuu Nissan Juke usijaribu....utalia peke yako. Mini Cooper it's ok. Nilimnunulia wife halikusumbua kabisa Kaka....lipo vema na BMW hawakosei Kaka
Yan wabongo tuna matatizo sana! Mtandao gani sasa unaomaanisha? Jf sio mtandao? Hv unafikiri nini maana ya kuwa na jamiiforums?Acha uvivu, kama umeweza kuingia JF huwezi shindwa angalia mtandaoni kupata taarifa za hilo gari. Jiongeze
Nikweli mkuu,nimegundua jamaa anaishi maisha ya hasira na chuki,ni wakumsamee bure mkuu.Yan wabongo tuna matatizo sana! Mtandao gani sasa unaomaanisha? Jf sio mtandao? Hv unafikiri nini maana ya kuwa na jamiiforums?
Hapa ndio sehemu ambayo watu wanaweza kushare uzoefu kwa karibu zaidi, kwani unaweza kukutana na mmiliki halisi wa gari husika aliyelitumia kwa muda fulani na kukabiliana na changamoto zake hasa ktk mazingira halisi tuliyopo.
Unataka upate specification ya gari kutoka kwa mtu aliyepo kwenye mazingira tofauti na tz wakati tunatofautiana vitu vingi kuanzia hali ya hewa, upatikanaji wa spare, maintanance and another services?
Sipendagi watu wa hivi.Achana na Murano, utaja lia..
No gani? Ni tumie pic na condition zakeNjoo nikuuzie Nissan terrano, njoo na milioni kumi
[emoji289]Sipendagi watu wa hivi.
Kwanini usitoe hioja yako unarukia conclusion. Mbona haya magar yapo barabarani na wanaoyamiliki hawalii?
Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.Yan wabongo tuna matatizo sana! Mtandao gani sasa unaomaanisha? Jf sio mtandao? Hv unafikiri nini maana ya kuwa na jamiiforums?
Hapa ndio sehemu ambayo watu wanaweza kushare uzoefu kwa karibu zaidi, kwani unaweza kukutana na mmiliki halisi wa gari husika aliyelitumia kwa muda fulani na kukabiliana na changamoto zake hasa ktk mazingira halisi tuliyopo.
Unataka upate specification ya gari kutoka kwa mtu aliyepo kwenye mazingira tofauti na tz wakati tunatofautiana vitu vingi kuanzia hali ya hewa, upatikanaji wa spare, maintanance and another services?
La mwaka gani mkuu?ni disel engine?Wengi wao wanakalili kutoka kwa watu wasiojua magari au wamesimuliwa mm na Nissan Terrano number B liko mpka Leo na linadunda na engine haijashushwa ...!
Nilichogundua ni kuwa umechagua kutokunielewa mkuu, ngoja niendelee kufuga ujinga.Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.
Hata wewe hukuninielewa ndio maana ulikurupuka kujibu hoja zangu bila kuanalyze nilichokiandika. Happy Easter!Nilichogundua ni kuwa umechagua kutokunielewa mkuu, ngoja niendelee kufuga ujinga.
Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.
Thanks Mkuu,
Nmeiotea sehemu Mini Cooper ya 2010 66,000km cc 1590 jamaa anataka 10m kitu Kiko Bandarini
Yana matatizo ya gia box hayo
safi chief ,Jamaa waliniwahi nikavuta Nissan Sunny cc 1400 speed 240 hatari sana hii kitu Mkuu!Mkuu vipi? Ulifanikiwa hapa ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utasikia mtu anasema IST New model!Gari nyingi na kama sio karibu zote tunazotumia watanzania zimepitwa na wakati!