Wazoefu wa Nissan Murano tusaidiane hapa

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,012
Habari wakuu,wale wataalamu wa magari naomba ushairi wenu,nafikiria kununua Nissan Murano,ila sijazifahamu kwa undani wake hizi gari,
.Ni ipi engine nzuri katika aina tofauti zilizopo.
.Je zipo 4WD
.Naona kuna 4 na 6 cylinders vipi utumiaji wake wa mafuta,hasa 6?
.Nini hasa tatizo sugu za hizi gari?
.Vipi durability yake?
Bei zina range kiasi gani kwa kuagiza Japan kulinganisha na bei za showroom dar?
Wajuzi wa magari msaada tafadhali.
 
Acha uvivu, kama umeweza kuingia JF huwezi shindwa angalia mtandaoni kupata taarifa za hilo gari. Jiongeze
 
Acha uvivu, kama umeweza kuingia JF huwezi shindwa angalia mtandaoni kupata taarifa za hilo gari. Jiongeze
Kwenye mtandao si rahisi wakakwambia engine flani ni nzuri kuliko ingine,pia tatizo sugu la gari husika hili hujulikan kutokana na uzoefu wa watumiaji.
 
Kwenye mtandao si rahisi wakakwambia engine flani ni nzuri kuliko ingine,pia tatizo sugu la gari husika hili hujulikan kutokana na uzoefu wa watumiaji.
Njoo nikuuzie Nissan terrano, njoo na milioni kumi
 
Njooo na miliioni kumi nikupe Nissan terrano
 
Sio Mtaalamu sana was Magari, ila nayajua jua kiasi chake !!

Uwezi niambia unanunua Murano alafu unamawazo ya Mafuta, Usinunue gari sababu umeona Fulani janunua !??

Juiulize maswali haya,,,,
1.Bajet yako Tsh ??
2.Matumizi yailo gari ?? Kila siku/Siku Maalumu
3.Spair Zitapatikana kwa Wakati au ndio Mpaka Uagize ??
4.Kuagiza (Pata wataalamu wanao jua Kampuni sahihi , nakwa sasa nafikiri zipo ofisi kabisa za Kuaminika za Kuagiza Hayo magari )au Kununua kwa MTU ,hakikisha umempatafundi unae mwamini ambae atakusaidia kukagua Ilo gari, Vinginevyo utafunga ndoa ya Kikristo na Hilo gari. Ogopa sana Gari lililo oshwa hasa kwenye engine !!
5.Zipo gari mbadala ambazo ni za uhakika na spare zimejaa mtaani,
6. Ogopa sana kununua gari ambalo hujawai liona Barabarani,


Ni njaa tuu zinafanya tuweweseke , Kama Mfuko Uko vizuri Gari Lolote lile linakufaa, Na pili Gari sio Kijiko kila MTU analia chakula, Ukinunua Gari hakikisha sio kila MTU anapewa aendeshe, Luna watu hawana mikono mizuri.,,,,
 
Hapo kwenye njaa nimekuelewa mkuu [emoji1787][emoji1787]
 
Kweli, tunakwazana sana sisi wabongo,mtu anaulizia vizuri tunaanza kumtisha,hata mke wako usipompa matunzo anakukimbia na akiolewa na mwanaume mwingine anayejua kutunza utaanza kummezea mate,brother kama mfuko wako uko vizuri nunua Murano hata mimi nikimaliza mjengo wangu mpango wangu wa pili ni kununua Gari nzuri
 
Murano zipo vixuri sana mkuu ila chukua ya kuanzia mwaka 2006 na kuendelea yenye cc 2480 ili pouwa sana hautajutia
Mimi ninayo
 
Murano zipo vixuri sana mkuu ila chukua ya kuanzia mwaka 2006 na kuendelea yenye cc 2480 ili pouwa sana hautajutia
Mimi ninayo
Vipi kuhusu aina ya engine mkuu,maana hizo 4 cylinder nimeona zina aina tofauti tofauti za engine mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…