Wazoefu wa safari za Nairobi

Wazoefu wa safari za Nairobi

Yasintajohn56

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
25
Reaction score
50
Habari za Jumapili wapedwa.
Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha.
Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia
Nauli ya kwenda na kurudi.
Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama.
Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya?
Msaada tafadhali.

NB: Jinsia ya kike, passport ninayo, yellow fever, Covid-19 certificate. Hivi vyote nnavyo.
 
1. Nenda GOOGLE andika "budget hotels near Nairobi Westland"

Kisha angalia uwezo wako na hoteli ulizoziona. Chagua moja

2. Piga customer service namba au WhatsApp au email kuwaomba waku- pick from Nairobi Central Bus Station, au kutoka utakapokuwapo.

NB:
Kama hujawahi kufika Nairobi na hii ni mara yako ya kwanza, usikubali kuamza safari bila kujua utafikia hotel gani na utatokaje kituo ukichofikia hadi mahali utalwenda kulala
 
Tafuta Airbnb ndio rahisi zaidi. Bei ni kati ya 1500 mpaka 2500 na hakikisha ziko pembezoni kiasi, maana westland ni kwa maSonko so gharama ya maisha iko juu kiasi.
Ukitaka kwenda Westlands kwa Daladala fanya kufika CBD then utapata Daladala za kwenda huko. Kama mfuko unaruhusu fanya request Uber au Bolt.
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom