WAZUMBE TUPO HAPA

WAZUMBE TUPO HAPA

Riz Tha God

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
94
Reaction score
32
Yakukumbukwa MZ.
Adhabu za mwalimu mwarabu, anarusha jiwe kwa manati litakapotua ndo saizi ya eneo lako la kufyeka.
Mkuu wa shule anakutoa nduki ukidoji paredi yoyote yeye hana special day kuhudhuria paredi.
Spea(Matandu) hii hupatikana kwa wingi na quality pale Canteen la pamoja na wanachuo wa Mzumbe,Spea huwa tamu Sana pale wanapoweka nakshi(mabaki waliosaza wanachuo) kwa siri ya mpish lakini.
Afta mgomo2013;shule ikawa ngumu kinoma hata mtu akitaka kukohoa lazima aombe kibali kwa T.O.D[emoji6] .
Mwenye ziada atuletee tafadhali tuendelee kukumbuka kituo chetu cha mitihani takatifu(GAUGING EXAMINATIONS)
 
This welcome you all from Mzumbe Boys since it was a middle school up in here.
 
Determination has always been our motto wherever we are
 
Back
Top Bottom