Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka mingi Sana imeepitaa 'uaaaa' sauti nyingi Sana zimesikika 'aiii'
Lumumba angepewa nafasi kuiongoza Kongo, leo ingekuwa miongoni mwa mataifa 10 tajiri zaidi Afrika.
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.
Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------
UdakuTukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.
Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------
Swaga za kutetea bilioni 700 badala ya matrilionTukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.
Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------
Miaka mingi Sana imeepitaa 'uaaaa' sauti nyingi Sana zimesikika 'aiii'
Nimebanwa na mafiiiii
Mbrrrrr mbrrr mbrrr
Nyauww
Eti nioko nioko nioko!!!! Mpuuzi wa kuwaaminia wazungu!! Mpaka kufa. Skiza walivokujakwetu walidai siye hatujastaarabika na nkuulize swali! Je ni ustaarabu kuvamia nyumba ya mtu na kwenda kumpangia utaratibu wako wa maisha kwenye nyumba yake?????Lumumba hata kama asingeuliwa na kuendelea kuwa kiongozi hata maendeleo asingeyaleta kwa Sababu alikua anafata ujamaa na nchi nyingi za kiafrika zilizofata Sela za kijamaa hadi Sasa hivi zipo nyuma kiuchumi.
Pia huyu kiongozi hakua na busara kitendo chake Cha kuwatukana wazungu Tena hazarani siku ya kupewa uhuru huo ni okosefu wa hekima na maarifa Huwezi tukana watu eti kisa waliwatawala na kuwanyonya ndiyo ni kweli waliwafanyia matendo mabaya lakini kihistoria mataifa yote Duniani yalifanyiwa hivo.Hata wazungu waliwai tawaliwa .
Ukitaka maendeleo kama kiongozi weka sheria nzuri ushilikiane na mataifa makubwa kwa mikataba mizuri na maendeleo yatakuja tu.Huwezi kuwa na maendeleo kwa kuwatukana wazungu huo ni utoto.