Wazungu baada ya kufanya haya kwa akina Lumumba, leo wanatuhubiria haki za binadamu!

Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.

Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------
 
 
Udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba hata kama asingeuliwa na kuendelea kuwa kiongozi hata maendeleo asingeyaleta kwa Sababu alikua anafata ujamaa na nchi nyingi za kiafrika zilizofata Sela za kijamaa hadi Sasa hivi zipo nyuma kiuchumi.
Pia huyu kiongozi hakua na busara kitendo chake Cha kuwatukana wazungu Tena hazarani siku ya kupewa uhuru huo ni okosefu wa hekima na maarifa Huwezi tukana watu eti kisa waliwatawala na kuwanyonya ndiyo ni kweli waliwafanyia matendo mabaya lakini kihistoria mataifa yote Duniani yalifanyiwa hivo.Hata wazungu waliwai tawaliwa .

Ukitaka maendeleo kama kiongozi weka sheria nzuri ushilikiane na mataifa makubwa kwa mikataba mizuri na maendeleo yatakuja tu.Huwezi kuwa na maendeleo kwa kuwatukana wazungu huo ni utoto.
 
Swaga za kutetea bilioni 700 badala ya matrilion
 
Miaka mingi Sana imeepitaa 'uaaaa' sauti nyingi Sana zimesikika 'aiii'

Nimebanwa na mafiiiii

Mbrrrrr mbrrr mbrrr

Nyauww

Umefila wanaume wenzio wangapi kwa ‘kutumwa’ ili uwafurahishe na ili uoneshe kwamba wewe mwamba

Hakika ukimfanyia hivyo mwanadamu mwenzio hutabaki salama, Mola Mlezi atakuadhibu tu.
 
Eti nioko nioko nioko!!!! Mpuuzi wa kuwaaminia wazungu!! Mpaka kufa. Skiza walivokujakwetu walidai siye hatujastaarabika na nkuulize swali! Je ni ustaarabu kuvamia nyumba ya mtu na kwenda kumpangia utaratibu wako wa maisha kwenye nyumba yake?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…