Wazungu bwana

Wazungu bwana

Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.

Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.

Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Bora uliifuta😂😂😂😂
Usingefanya hivo usingekua Mr Unknown tena 😂😂😂yalaaaah.
 
Bora ulivyofuta namba. Ungempigia saa hizi ungekuwa unaandika uzi wa kuulizia dawa ya kutuliza maumivu ya nyero.

Wazungu sio watu wazuri.
 
Back
Top Bottom