Wazungu\Foregners wanatengeneza sana pesa hapa nchini kwa ujinga wetu

Wazungu\Foregners wanatengeneza sana pesa hapa nchini kwa ujinga wetu

Kanuni ya wayahudi wawapo popote pale Duniani na ndio maana wana maendeleo sana,na kanuni hiyo hiyo ndio wame copy jamii kama singasinga na wahindi,chunguza hayo utajagundua.
Naam ni culture nzuri,hata kaburu hapo DZONGA ndio utaratibu wake,ukitaka nunua kitu kama nduguyo anacho usihangaike nunua hapo
 
Mimi natengeneza sabuni ya kuogea 96.8% ni herbal lakini watu hawaniungishi wanataka vitu kutoka mbali
watanzania hatujiamini katika yale tunafanya kitu kinachopelekea kufanya kwa kujaribu katika hofu,niliwahi kukutana na mtu nikaziona zile fimbo za mapazia za chuma nyepesi,nikamwambia hivi izi zinatengenezeka kabisa,nataka nitengeneze,akanijibu huto uza kwa kuwa za mchina ni nyingi sana,nikasema biashara ni usindani na ubunifu nasoma namna mchina kaunda mimi na boresha ,aligoma
 
Connection ndio kila kitu. Hao wanapeana wenyewe. Ukienda wewe hupewi ng'o.

Foreigners wengi ndivyo wanavyofanya hivyo. Wanapeana wenyewe, wanakopeshana wenyewe na kupeana kazi wenyewe. Wazungu, wahindi, wachina, waarabu, wapakistan ndivyo wanavyofanya.

Kazi za chini na za hovyo ndio mnapewa wazawa 🤣🤣
Nakubaliana na wewe kwamba konekekisheni (connection) ndio kila kitu, ila nataka nikufahamishe kwamba hata hiyo konekisheni inakwenda kwa watu wanaoaminiana na wanaofanya kazi kwa bidii! haiwezekani hata siku moja ukapata konekisheni kama huna uaminifu, mvivu, hujitumi, hivyo ni lazima watanzania tujifunze kwanza kuwa waaminifu, kufanya kazi kwa bidii na kuwa na subra katika kila jambo ndipo tutaweza fanikiwa
 
Sijui ni lini tutapata viongozi wenye akili Kung'amua hili
Viongozi wa nn kama wewe mwenyewe unashindwa kujisismamia! Mfano rahisi sana ni kwa jiji la Dar kila siku asubuhi mapema, ni akina mama na wadada ndio utakutana nao wanahangaika kwenye madaldala na masinia, ndoo, karai na viroba kwenda kwenye biashara, vijana wa kiume wamelala wanasubiri kubet, na wenye uelewa kiddogo wapo kwenye bodaboda, wengine wapo na kazi ya kuwasugua wanawake miguu,
bado unataka kiongozi eti aje akuamshe! Tutalalamika sana, na bado maisha ni rahisi Tanzania kwa taarifa yako, sasa omba mungu akupe miaka mingine mitano uone shughuli itakavyokuwa ngumu mijini
 
Dunia iko chained, kwa namna fulani, gezea tengeneza uone kama utauza,
Mfano :, DP World, ni kampuni ipo chained kwa kiasi kikubwa inajipakizia mizigo toka nchi fulani inajipelekea nchi fulani, infact inajitahidi kuhodhi biashara ya usafirishaji in networking program, usipoelewa haya yanayoendelea duniani utachelewa kweli na ushuhudie ukidorora.
Nimekupata sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hayo mahoteli ya katavi yanayoimport mboga toka Arusha mmiliki ni nani. Kumbuka, mkitaka kufanikiwa kama kikundi, ukoo, kabila. Ukitaka kununua hakikisha unanunua kwa ndugu yako, ila ukitaka kuuza muuzie yeyote
Ndio fitna za kukuza uchumi wa kikundi.
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Ukiboresha utajikuta umetumia gharama kubwa kuliko bei anayouza mchina na hapo ndipo mchina anapowazidi wazungu kwenye masoko.
Huyo rafiki yako alikuwa sahihi.
Kweli confidence ni muhimu ila iwe kwenye jambo lenye uhalisia na mantiki.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wewe umeongea point ya msingi na ya muhimu sana,yaani tusipobadilika tutaishia kulaumu siku zote.
Kweli sikatai ubinafsi na connection/kujuana kupo lakini swali linakuja je ukipewa nafasi utafanya kazi yenye kiwango?ukifanya supplies je bidhaa zako zitakuwa zenye ubora bila magumashi?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Shekh umeshasema anauzia wenzake wewe unategemea nini ukianza kutengeneza hivyo? Utakosa soko biashara hazipo hivyo eti kisa umeona mwenzako katengeneza Na anauza kwamba na wewe utatengeneza utauza siyo kweli
 
Hayo mahoteli ya katavi yanayoimport mboga toka Arusha mmiliki ni nani. Kumbuka, mkitaka kufanikiwa kama kikundi, ukoo, kabila. Ukitaka kununua hakikisha unanunua kwa ndugu yako, ila ukitaka kuuza muuzie yeyote
Ndio fitna za kukuza uchumi wa kikundi.
Wanasupportiana wazungu kwa wazungu uza wewe kwao hawanunui
 
kama unaona ni kazi rahisi jaribu kutafuta tenda hata kwa Mtanzania mwenzako kusambaza sabuni uone kama utapata.. haya maisha yapo channelled sana mkuu, ningekupa kisa kimoja cha kampuni mbili kubwa hapa nchini na watu wanaofanya nao kazi ungechoka, basi tu kwa sababu za kiusalama siku nyingine. ila makampuni mengi ya kigeni yana vikampuni vidogo vidogo vinavyonaya kazi nao ambavyo ukifuatilia ni kutoka nchi asili ya hiyo kampuni kubwa, hii ni kuhakikisha kuwa kila hela inayozalishwa na kutumiwa na kampuni kubwa inarudushwa kwao in indirect waya
Mkuu uko sahihi. Kuna ofisi ukienda watz wenzio wanakubania tena ukipeleka Bidhaa na gari binafsi wanaona wewe unawapita utajiri. Kuna sehemu tulikua tunapeleka boss mswahili akaaacha kununua akaenda kwa supplier mwingine kule akakuta bidhaa haina ubora na bei ni kubwa akaamua kuturudia na sisi tukampotezea.
 
Viongozi wa nn kama wewe mwenyewe unashindwa kujisismamia! Mfano rahisi sana ni kwa jiji la Dar kila siku asubuhi mapema, ni akina mama na wadada ndio utakutana nao wanahangaika kwenye madaldala na masinia, ndoo, karai na viroba kwenda kwenye biashara, vijana wa kiume wamelala wanasubiri kubet, na wenye uelewa kiddogo wapo kwenye bodaboda, wengine wapo na kazi ya kuwasugua wanawake miguu,
bado unataka kiongozi eti aje akuamshe! Tutalalamika sana, na bado maisha ni rahisi Tanzania kwa taarifa yako, sasa omba mungu akupe miaka mingine mitano uone shughuli itakavyokuwa ngumu mijini
Wewe mjinga hizo kazi za kutembeza masufuria kuuza karanga ni kazi za vijakazi na watumwa .wananchi wa Tanzania hawakutakiwa kuishi maisha ya kiseng€ hivyo ,acha kuandika ufala hapa .
Tunaongelea real opportunities ambazo zitaleta impacts za kubadilisha maisha ya mwananchi na jamii nzima kwa ujumla ,
We unaongelea kuendesha boda boda na kuuza karanga ,una akili wewe au usaha kwenye hicho kichwa chako mpuuzi wewe ?
Ni nani ametoa maisha au kuwa tajiri kwa kufanya huo upuuzi ulioandika hapo ?
Tumia akili kufikiria usutumie matako kufikiri
 
Policies za nchi hii ni za kikuMA , haiwezekani wageni waje wawekeze kwenye vitu vidogo ambavyo wazawa wanaweza fanya , hamna nchi yoyote duniani inayofanywa huu upuuzi ,Ni Tanzania tu ndio kuna ufala wa hivi ,anakuja mhindi ,mchina anafanya biashara ya uchuuzi ,mzungu anafanya biashara za kulima bustani ambazo hata mzawa anaweza fanya ,hiyo ni tactic ya kunyonya fursa na kusqueez chance ya mzawa kuendelea kiuchumi ,
Taifa linaishia kuzalisha manamba na vijakazi tu
 
Tena kibaya zaidi hao wageni hata pesa wanazo vuna hazikai humu , wanaishia kupeleka nje ya nchi ,upuuzi gani huo ?
Pesa hauzunguki kwenye uchumi wa ndani na madhara yake ndio hayo ,taifa linakuwa na uchumi dumavu na hata pesa za kigeni uhaba unatokea ,sababu hawa wapuuzi pesa za faida wabspeleka kwao kwa kiasi kikubwa na ni katika mfumo wa pesa za kigeni .
Pumbavu sana hii nchi
 
Back
Top Bottom