Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
kwasababu sipo smartWewe mbona uko kujadili uzi ambao unahusu matrako afsa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu sipo smartWewe mbona uko kujadili uzi ambao unahusu matrako afsa?
We dogo wewe.specify ni wazungu gani kwasababu wapo wa mataifa mengi
ninavyojua wazungu wa kule marekani hawana hizo pigo, tena wanafantasize kuwa nao
wanakuambia "take a dip in the chocolate factory"
Acha bana wewe ndo wa kunitetea mkuu alaaaaha 😄😄Vitako vyako mwamba anavielewa
Hauwezi kuchukia maumbo ambayo mwenyezi Mungu hajakuumbia, yaani ambayo hayapo, pia hauwezi kupenda maumbile yasiyokuwepo.Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makalio makubwa wao wanamchukulia kama ulemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
So na wewe ukaamini kuwa wazungu waligundua procedures za kuongeza matako kwa ajili ya wa Afrika?Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makalio makubwa wao wanamchukulia kama ulemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
Mbali na wanaofanya cosmetics surgery, mwanamke fat deposition inaenda makalioni na mapajani natumaini kama umepitia somo la physiology ili linaeleweka mtu kusema ulemavu ni wivu tu huyo. Yaan kitu natural useme ulemavu .Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makalio makubwa wao wanamchukulia kama ulemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
Huyo sio mzungu sasa, huyo ni latina, hao ni heavily mixed for generations. Wazungu ni wale pure European na wana shapes kama box la meza.
Kwani nyie wenye nguvu mnayafanyia nini hayo matako makubwa?Matako kama santuri ni furaha ya wanaume Wenye nguvu ila wavivu HAWAWEZI KUKUBALI MIZIGO,MIZIGO NI KWA WENYE NGUVU ACHA WAO WAENDELEE NA FLAT SCREEN ZAO
Kila mtu ashinde mechi zake.....wakomae nao vimbau mbau achana na mitulinga yetu....tupambane nayo.....daaa mingine ina fungus lakini....Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makalio makubwa wao wanamchukulia kama ulemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
Sijui huwa mnakutana wapi kuoneshana vitako vyenuAcha bana wewe ndo wa kunitetea mkuu alaaaaha 😄😄