Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 23
Tunawakaribisha kwa mikono miwili halafu baada ya muda kidogo utasikia kilio watakacho tuachia...!




View attachment 21028




View attachment 21028
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.




Ha ha ha~wewe Kimicho ni kiboko. Nimecheka mwenyewe hapa mpaka mbavu zinaniuma!.]Halafu viongozi wetu wanachekelea kama mazuzu[/COLOR].
hivi ni nini maana ya mzungu eti?Hivi kila mtu mweupe ni mzungu nauliza
hivi ni nini maana ya mzungu eti?
'Baba' mwenyewe ombaomba unategemea nini?
..................... maana halisi ni alakadabra ! yaaani mazingaombwe !:juggle:
Ni kweli kabisa.
hivi ni nini maana ya mzungu eti?