Wazungu nao kumbe wachawi?

Wazungu nao kumbe wachawi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani yaani unajiskia huko kwenye high mood.

Ghafla nikashtukizia kaajuza fulani mweupee, pale skin na macho ya bluu na nywele nyekundu kanirukia mgongoni na kuniganda na kuanza kuimba wimbo wa lionel Ritchie stuck on you.

Yaani nilishtuka na kushangaa wtf! Nikampiga kumbo kipepsi akaanguka chini na kutoa sauti za ajabu ajabu. Yaani nilichomoka balaa.

Itaendelea kesho nikiamka.

Magonjwa Mtambuka
 
Kweli weye una mzuka.Stuck on you wa Lionel Richie au Lionel Messi?😂😂😂😂😂
 
Mitanganyika itaamini maana yenyewe ukisema jambo lolote ni uchawi inaamini reasoning inatupwa out the window.

Kama ambavyo inaamini huu Uzi:
 
Back
Top Bottom