Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

Wakati huo wewe unayezaa kama nguruwe unawategemea kila kitu.
 
Aliyekwambia Ustarabu as in Civilization ilianzia western ni nani ? Nadhani tuanzie hapo sababu hata kama premise ya unachokisema ina walakini itakuwa tunajenga hoja kwenye msingi mbovu..., Yaani your argument does not hold water...
🤔😳😲
 
Bado kidogo nitukane kimoyo moyo kwa wazazi waliokuleta Duniani ila nimeahirisha kwa kuwA wewe Umedownloadiwa bila hivyo ningewatukana Baba Ako bora angenyetuka huwezi jua goli lako lingenenepesha mamilioni ya sisimizi leo hii wangekuwa wanamshukuru mungu ila sio wewe takataka ya Ulimwengu.
 
Mmh, kwa nini?

Kama unadhani kuzaliwa ni faida sana basi ni wewe.

Mimi sioni faida yeyote.
 
Kama huoni faida ya kuzaliwa kaa mbele ya treni ya Kigoma au chukua kamba ukufilie mbali. Mimi namshukuru Mungu kuzaliwa.
Kwa nini unamshukuru Mungu kuzaliwa, kwamba ndio umefaidi nini yani, mademu au?
 
Mmh, kwa nini?

Kama unadhani kuzaliwa ni faida sana basi ni wewe.

Mimi sioni faida yeyote.
Kuna Bunduki,Sumu,Barabara za Treni,mito,maziwa na bahari na njia kama mia za kujiua chagua unayoipenda unakatisha maisha hayo usiyoyaona ya maana.
 
Elewa maelezo usijichanganye sipingi kuasili mtoto kwanza kwa mungu ni thawabu kubwa.Ninachopinga ni kukataa kuzaa wakati uwezo mnao kisa mnata ku enjoy lakini una asili mtoto huu ni ujuha sana
 
Mkuu sikupingi ila message sent ni kweli iliongelewaga hii ila alikuwa baadhi ya maneno ni raisi wa makaburu Pieter Botha.
 
Kupata mtoto hadi ubebe mimba ukae miezi 9 uzae halafu unyonyeehe ulee nk. Ni process ndefu.
Sasa kama hawataki hizo process nà wsnataka kukaa na mtoto/watoto wàfanyeje?
 
Kwani mtu akiamua kutokuzaa lakini wanakulana kila siku huku wameasili mtoto kuna shida gani
 
Wanafata mkumbo tu hao kwasababu wametajwa wazungu.....ila mtoa mada yupo sahihi
Majitu mengi humu ni matoto ya miaka ya 2000 yameshakata tamaa ya kuishi mengi ni mavuta bangi tangu chuo yamefika mtaani ajira hakuna.
Hivi umeshawahi kaa karibu na chuo kikubwa kipindi wanafunzi wakifungua ndio matukio ya wizi mitaani karibu na chuo yanaongezeka basi mengi ndio yapo humu.
Yanashindwa kuchujua point na lazima yapinge sababu hata yakitaka kuoa hayana uwezo wa kutunza mke na kulea familia.Mengine hayana hata marinda ila masomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…