Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi tu wamefaidika hadi wengine kurudi na kuhamisha familia zao hapa bongo na sasa ni raia wa huko.
Ila kwa kasi ya Mheshimiwa Magufuli naona sasa Tanzania imeanza kuvutia naiona sasa ni zamu ya waulaya kujiripuwa Tanzania na kuanzisha maisha hapa na pengine kuzivuta familia zao ziishi hapa.
Kwa nionavyo sasa tunapanda,na mifano imeanza kujitokeza wazungu wanaojiripuwa ,wachina,waethiopia sasa hawaitaki tena Ulaya wanaitaka Tanzania japo wakikamatwa husema wanapita njia tu.
WaTanzania wenzangu msifanye kosa kuondoka na mlioko huko majuu msichelewe ,kasi ni kubwa ,maendeleo na hali za kipato zimeanza kuonekana na dalili ni hao wahamiaji wanaoanza kutua wakihamia kabisa.
Shime sasa ni mwendo mdundo,maisha fresh kama kilivyo chakula chetu. Yaani ukiona wahamiaji wa kizungu wanamiminika basi ujue wameshaona mbaali,inakuwaje wewe Mtanzania unabung'aa ?