mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nafahamu kuwa huko USA na Ulaya kuna miji ilibomolewana kusukwa upya, ila kuna miji haijapoteza uhalisia wake kwa miaka na miaka, cha kushangaza kuna miji ina barabara za lane 8 na ni masterplan ya karne mbilli zilizopita, jamaa walijuaje kuwa kutakuja kuwa na foleni hapo baadae maana usafiri wa enzi hizo ulikuwa punda na farasi.
Ukifika Zanzibar mji mkongwe utanielewa, barabara zilikuwa designed kwaajili ya punda na farasi, barabara zina upana wa mita mbili au tatu.
Ukifika Zanzibar mji mkongwe utanielewa, barabara zilikuwa designed kwaajili ya punda na farasi, barabara zina upana wa mita mbili au tatu.