Wazungu walijuaje kuwa miji yao itakuja kuwa na foleni za magari miaka 200 kabla wakaweka road reserve pana?

Hujafika Nairobi wewe, kuna sehemu inaitwa kibera, ni kijiji cha pili kwa ukubwa Africa nzima baada ya soweto na kipo katikati ya jiji.
Wanaita slums sio vijiji maana hakuna mashamba, kwa sa slum kubwa ipo Cape town, halafu ni ya pili ya kwanza ni Kibera ya Nairobi.

Ongeza madini kichwani ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…