BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila muanzilishi ana baki kuwa muanzilishi na tutawajibika kumpa credit zake.
Choo Cha kushare kina changamoto zake kubwa zaidi ni uchafu pia kwa mahusiano ni hatari kinaweza kuvunja ndoa.
Kwa mfano mimi leo nimeingia majaribuni kutamani mali ya mwenzangu kama mnavyojua wenge la kuamka asubuhi ukiwa umebanwa na haja ndogo nimetoka nduki kwenda toilet bila hodi nasukuma mlango namkuta mke wa jirani yangu akiwa anaoga japo ni kitendo cha sekunde kadhaa na kama mnavyojua macho hayana pazia image ya mwili wake akiwa mtupu yote imebaki kichwani.
Ikabidi ni apologize lakini mpaka saa hivi nikipishana naye akiwa kavaa nguo picha ya kwanza nayopata ni ile akiwa anaoga na shanga zake mbili kiunoni nyekundu na nyeupe.
Kuishi kwenye self contained room ni more safe na privacy ni hali ya juu kwa wale wenza wanaopenda kwenda kuoga kwa pamoja ni friendly kulinganisha na bafu la public.