Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Ni Black American with a touch of African gene!. Hakuwepo kipindi cha utumwa!.Hes right then cause he didn't participate in the business!.yeye sio mwafrica?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Black American with a touch of African gene!. Hakuwepo kipindi cha utumwa!.Hes right then cause he didn't participate in the business!.yeye sio mwafrica?
I agree to disagree with him!.Ila jamaa anataka kutuaminisha kwamba mtu mweusi alifanya utumwa bila pingamizi yoyote. Anapotosha. Kwenye historia kuna muafrika mtumwa alijifunza kusoma. Akaanzisha uasi wa watumwa. Alipata mafanikio madogo mwanzoni lakini alishindwa na madhara yalikuwa mabaya sana, kuna stori pia ya watumwa walioteka meli iliyowabeba. Pia huko uarabuni kuna kitu kinaitwa Zenj rebellion. Ni watu weusi watumwa walioasi.
Wewe naye kuna jukwaa la Chit-chat nenda kahangaike na Nimbus wenzako huko!!..Leave this topic to those who wish to know!.Hakuna kitu kama icho acha porojo zako mtoa mada
Nadhan ukifuatila kwa makini interview ya kanye na tmz..alimaanisha jamii ya waamerika ƙaskazini....alisema pia kwa miaƙa zaidi ya 400 sasa wako katika utumwa akimaanisha toƙa miaka ya 1501 biashara ya utumwa ulipoanza marekani hadi 2018 :2018-1501=517yrs...Kanye west katoka sema"Kukaa utumwani miaka 400 waafrika ni uzembe wenu!."
Usipindishe maelezo statement alotoa kanye west ni kuhusu utumwa wa mtu mweusi hayo mengine ya mainstream sio kweli!.. Media zenyewe hazina miaka 100!.Nadhan ukifuatila kwa makini interview ya kanye na tmz..alimaanisha jamii ya waamerika ƙaskazini....alisema pia kwa miaƙa zaidi ya 400 sasa wako katika utumwa akimaanisha toƙa miaka ya 1501 biashara ya utumwa ulipoanza marekani hadi 2018 :2018-1501=517yrs...
Alichajariɓu ni kutoa meseji kwa watu wote kuwa sasa watumwa wa main stream media na social media....rejea mara ya mwisho stejini kabla ya kukimɓizwa hospitali...baadhi ƴa maneno alisema... facebook is lying to you...google is lƴing to you .....n.k
Kwa kusema wanajitakia kwa kumaanisha kukubali kila jamɓo tunaloona ama kuwekwa kwenye vƴomɓo vya habari na mitandao ya kijamii pasipo kufanƴa uchunguzi wetu ɓinafsi....
Mfano...snoopy alilalamika kipinɗi fulani kwanini filamu nƴingi za huko duniani hata kama ɗirector awe mtu mweusi utakuta srcipt za mabosi wengi wanapewa wazungu ama wenƴe ngozi nyeupe na sio weusi!? Kama ni mfuatiliji mzuri nadhani utanielewa..ndo mfano wa utumwa huo anauzungumzia kanƴe west.
Asante.
Usipindishe maelezo statement alotoa kanye west ni kuhusu utumwa wa mtu mweusi hayo mengine ya mainstream sio kweli!.. Media zenyewe hazina miaka 100!.
sawa na maneno yake yamemvunjia mikataba sasa!..Na mwisho akasema tuwe huru kuzungumza kile tunahisi ni sahihi na maɓishano ya kuwekana sawa ni sawa maana tunajenga jamii moja sasa dunia inachohitaji kufanya ni kupendana kama trump anamakosa yake kama binaɗamu baada ya kumsema pemɓeni kama snoop alivyotengeneza clip kama anampiga risasi haisaidii ..anachataka ni kukaa chini kwa wale wenye nafasi ya kukaa naye na kuzungumza hiki sio hiki ndio ni hayo tu.
[emoji116][emoji116][emoji116]sawa na maneno yake yamemvunjia mikataba sasa!..
Bado haijaisha mkuu Libya watumwa wako sokoni mpaka leo wanauzwa Kama kuku[emoji23]Ni kweli. sababu kubwa ni kuwa utumwa wa mtu mweusi umekomeshwa hivi karibuni ndiyo maana hadi leo effects zake zipo kwetu. Imagine eti watu weusi tulikuwa watumwa hadi wa waethiopia? Ethiopia wamekomesha utumwa miaka ya 1930s tu hapo. Kwahiyo athari za utumwa wa mtu mweusi hadi leo zinaonekana.