Wazungu walivyokuja mitaa ya kwetu

utaniona nimeshika kifimbo hapo lol!
 
utaniona nimeshika kifimbo hapo lol!

nimekuna hapo kaka unanikumbusha enzi za vasco dagama na watawala wa siku huzo akina mangungo wa musovero
 
Kuna tofauti kubwa kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea..hata katika uvaaji wa kawaida..
 
Hii picha ni kule milima ya usambara/Lushoto?

mkuu ukiangalia mandhari yake utajua ni wapi ...lakini hao jama hawakuniacha solemba walinikumbuka na mfimbo wangu huo!! aisee
 
Huyo jamaa wa mbele ndio kiboko kabisa, kaona kushika kiuno haitoshi akaona anyanyue na guu kabisa ! hahahaa!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea..hata katika uvaaji wa kawaida..

Hao wazungu wangekutana na mitoto ya mafisadi wenyewe wangeonekana wametoka kwenye nchi ambayo haijaendelea.
 
Huyo mzungu kama sikose ni Jane Goodall aliyekuwa anafanya utafiti wa sokwe kule kigoma, hifadhi ya gombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…