Wazungu wamenivutia zaidi

Maneno ya mkosaji tu hayo..

Hata sisi wanatuona hivyo hivyo kama wewe unavyowaona wenzio
Nah! hawatuoni kama hivyo.
Hata wenyewe wanasema black don't crack, muangalia halle berry ana miaka 56 ni nusu ya umri wangu lakini bado anaonekana kijana mbichi na anafaa kwa matumizi ya kibinadamu.

Wewe uliona wapi vijana wanacrush kwa bibi wa kizungu?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sijasema kwamba ni wazuri kuzidi waafrica

Wana roho nyeupe kama ndio ni ndio kama sio ni sio

Tofauti na Kaka zangu wa Jangwani kwenu nyeupe ni nyeusi
Kama unazungumzia usafi wa roho basi niamini nikikwambia wazungu wengi wanapretend tu mbele ya public.
Tofauti na sisi bro zako wa jangwani, tuko real na honest kama kibovu tunasema kama kizuri tunasema.

Mpaka hapo bado unataka wazungu?
 
Wazungu wana sifa ya kupenda kuzibuwa mitaro, halafu ukiwa Kibonge siyo type yao kabisa.
 
I had a friend who was desperate to be married to Mzungu and she made it, pambana it will happen sio kuzaa Tu na kuolewa pia
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sijasema kwamba ni wazuri kuzidi waafrica

Wana roho nyeupe kama ndio ni ndio kama sio ni sio

Tofauti na Kaka zangu wa Jangwani kwenu nyeupe ni nyeusi
Wafaransa wana roho mbaya wengi wao.

Wazungu wa kweli na roho ni wa Scandinavia countries na Wamarekani, hawa wamebarikiwa haswa na Mungu na wataendelea kubarikiwa.

Mmarekani Sera yao anapopewa huduma kokote aendapo lazima aache jina zuri la Marekani, tip yao si chino ya dollar 50 popote anapopewa huduma.

Ukitaka ushuhuda si lazima use umeishi ulaya waulize tu wanaofanya kazi makampuni ya kitalii na wanaofanya kazi hotel kama Kilimanjaro, Serena na sea Cliff.
 

Huyu lazima jua lishazama wabongo hatumtaki sasa anadhani atapata mizungu awatishwe kitu kizito 🤣

Ngoja azunguke mwishoe atakileta tu kwa wamatumbi dakika za lala salama tumpe hata mtoto mmoja wa kumliwaza tupo tumekaa pale.
 

Hajui mkuu yeye kakariri anadhani mizungu yote ni sawa.

Huyu ataliwa na Manara akidhani ni zungu 🤣
 
Unapotaka kitu unakifuata,wafuate walipo....mahoteli...sehemu za starehe zile high classic na maeneo ya utalii.Anzisha urafiki then mtaafikiana lengo lako

🤣

Huwa nacheka na kuwaonea huruma napoona dada zetu wanavyojitega kwenye mahotel kumendea mizungu.

Tukitoka wanyamwezi tuliodondoka toka unyamwezini tukipiga story kidogo tu wanatamani hata tuondoke nao wanasahau malengo yao, kimsingi wanawinda mizungu in search of a better life not necessarily mapenzi. Na mtu akifika kwenye hii peak ya desperation anakua vulnerable kufanyiwa unyama wowote ule. It's really heartbreaking.
 
Tangia simba wamlete mdhungu. Saivi kila mdada anamtaka mdhungu.....

Sujui wengine tutapata wapi madem...

Simba imekosea sana kuleta mdhungu
 
Kwani unapojigjig wale unaotoa siyo wadhungu?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…