Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Nah! hawatuoni kama hivyo.Maneno ya mkosaji tu hayo..
Hata sisi wanatuona hivyo hivyo kama wewe unavyowaona wenzio
Hata wenyewe wanasema black don't crack, muangalia halle berry ana miaka 56 ni nusu ya umri wangu lakini bado anaonekana kijana mbichi na anafaa kwa matumizi ya kibinadamu.
Wewe uliona wapi vijana wanacrush kwa bibi wa kizungu?