Wazungu wamenivutia zaidi

Sahii kabisa,
Kwa waliotembelea ulaya watathibitisha hili, wazungu weng ngozi zao mbaya Sana.

Kama vitoto vya nguruwe
Ni kweli ngozi zao zinakuwa nzuri wakija Afrika kwasababu ya hari ya hewa ya joto.
 
Hizi ni fantasy tu ya mtu, hazimaanishi kwamba wao ni bora

Sawa na nyie mnaopenda wenye makalio makubwa.

Amesema anataka mtoto chotaraa.

Kama mi nawapenda wahindi,vitoto vyao, nimepanga pia niwe na kachotara ka kihindi.
 
Toka lini mmarekani akawa na Roho nzuri? Ni kwaajili ya hizo tips?
 
Mbona umekazania sana mambo ya uzuri na ubaya

Mbona hamsemi kuna wabingo wanaume wanajichubua na kujipaka make-up ili waonekane wazuri



Mimi sijasema nawataka coz ni wazuri


Nileteeni mthungu nasema
Naona umeangalia pochi ila ngoja nikupe ushauri wale ukiwa omba omba anakukataa
 
Kuna bumble, tinder, hinge, lakini free itakuonesha wa bongo. Ukitaka kuona wa mambele mpaka ulipie.
 
Kama unazungumzia usafi wa roho basi niamini nikikwambia wazungu wengi wanapretend tu mbele ya public.
Tofauti na sisi bro zako wa jangwani, tuko real na honest kama kibovu tunasema kama kizuri tunasema.

Mpaka hapo bado unataka wazungu?

Niletee mthungu sijakata tamaa na maneno yako
 

Basi nitafutie huyo m Scandinavië
 
Huyu lazima jua lishazama wabongo hatumtaki sasa anadhani atapata mizungu awatishwe kitu kizito [emoji1787]

Ngoja azunguke mwishoe atakileta tu kwa wamatumbi dakika za lala salama tumpe hata mtoto mmoja wa kumliwaza tupo tumekaa pale.

Bufa kama Bufa sawa tambitambi Mzee wa ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…