Wazungu wamenivutia zaidi

Wazungu wamenivutia zaidi

Sahii kabisa,
Kwa waliotembelea ulaya watathibitisha hili, wazungu weng ngozi zao mbaya Sana.

Kama vitoto vya nguruwe
Ni kweli ngozi zao zinakuwa nzuri wakija Afrika kwasababu ya hari ya hewa ya joto.
 
You are entitled to your own choice, ila nahisi una slavery mentality inayotusumbua waafrika wengi Ya kuhisi ngozi nyeupe ni bora kuliko sisi.

Najiuliza majority of people from other races hazitaki kuoa au kuolewa na waafrika, kwanini ni sisi waafrika Wengi tunashobokea Kuoa au kuolewa na other races?

Bufa aliwahi sema mzungu akioa/akiolewa na mwafrika ame-downgrade, wakati mwafrika akioa au akiolewa na mzungu ame-upgrade mamamzungu
Hizi ni fantasy tu ya mtu, hazimaanishi kwamba wao ni bora

Sawa na nyie mnaopenda wenye makalio makubwa.

Amesema anataka mtoto chotaraa.

Kama mi nawapenda wahindi,vitoto vyao, nimepanga pia niwe na kachotara ka kihindi.
 
Wafaransa wana roho mbaya wengi wao.

Wazungu wa kweli na roho ni wa Scandinavia countries na Wamarekani, hawa wamebarikiwa haswa na Mungu na wataendelea kubarikiwa.

Mmarekani Sera yao anapopewa huduma kokote aendapo lazima aache jina zuri la Marekani, tip yao si chino ya dollar 50 popote anapopewa huduma.

Ukitaka ushuhuda si lazima use umeishi ulaya waulize tu wanaofanya kazi makampuni ya kitalii na wanaofanya kazi hotel kama Kilimanjaro, Serena na sea Cliff.
Toka lini mmarekani akawa na Roho nzuri? Ni kwaajili ya hizo tips?
 
Mbona umekazania sana mambo ya uzuri na ubaya

Mbona hamsemi kuna wabingo wanaume wanajichubua na kujipaka make-up ili waonekane wazuri



Mimi sijasema nawataka coz ni wazuri


Nileteeni mthungu nasema
Naona umeangalia pochi ila ngoja nikupe ushauri wale ukiwa omba omba anakukataa
 
Kuna bumble, tinder, hinge, lakini free itakuonesha wa bongo. Ukitaka kuona wa mambele mpaka ulipie.
 
Kama unazungumzia usafi wa roho basi niamini nikikwambia wazungu wengi wanapretend tu mbele ya public.
Tofauti na sisi bro zako wa jangwani, tuko real na honest kama kibovu tunasema kama kizuri tunasema.

Mpaka hapo bado unataka wazungu?

Niletee mthungu sijakata tamaa na maneno yako
 
Wafaransa wana roho mbaya wengi wao.

Wazungu wa kweli na roho ni wa Scandinavia countries na Wamarekani, hawa wamebarikiwa haswa na Mungu na wataendelea kubarikiwa.

Mmarekani Sera yao anapopewa huduma kokote aendapo lazima aache jina zuri la Marekani, tip yao si chino ya dollar 50 popote anapopewa huduma.

Ukitaka ushuhuda si lazima use umeishi ulaya waulize tu wanaofanya kazi makampuni ya kitalii na wanaofanya kazi hotel kama Kilimanjaro, Serena na sea Cliff.

Basi nitafutie huyo m Scandinavië
 
Huyu lazima jua lishazama wabongo hatumtaki sasa anadhani atapata mizungu awatishwe kitu kizito [emoji1787]

Ngoja azunguke mwishoe atakileta tu kwa wamatumbi dakika za lala salama tumpe hata mtoto mmoja wa kumliwaza tupo tumekaa pale.

Bufa kama Bufa sawa tambitambi Mzee wa ramli
 
Back
Top Bottom