Wazungu wamenivutia zaidi

Kuna jamaa yangu yeye ni rasta na ana hostel ya kufikia wamarekani.
Huwa anawaunga sana wadada wa kibongo.
Mashrti yake umtumie picha yako awaonyeshe hao wazungu.
Ujira wake mtaelewana ukiwa utamvutia hata kitumbua anapokea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye kupokea kitumbua
 


Let's me congratulate this girl for expressing her feeling.

Wadau tuache ubaguzi wa kijinsia,yaan nimejaribu kupitia coment humu mmemshambulia sana uyu dada kana kwamba yeye ni mkosaji.

We human being we are equal lakini ikija maada ya mapezi utofauti unaazia apo,mwanaume akitoa hisia zake za mapenzi anaonekana mwamba sana.
,kwa mfano ukipitia kwenye maada ya kula tunda kimasihala wanaume ndo wameshamili sana but wanawake wakicoment wanaonekana tofauti.

Kwa hiyo dada nmeipenda iyo kutoa hisia zako,na nnaimani utafanikiwa.

Mbona sisi huwa tunatoa hisia zetu kuhusu madem tunao wataka na tunafanikiwa kuwapata,kwa nn isiwe ww.

Hongore tena
 
Mbona umekazania sana mambo ya uzuri na ubaya

Mbona hamsemi kuna wabingo wanaume wanajichubua na kujipaka make-up ili waonekane wazuri



Mimi sijasema nawataka coz ni wazuri


Nileteeni mthungu nasema
Hapa utatukanwa matusi yote. Hakuna watu wenye wivu kama wanaume wa kibongo. Ona wameanza kukupa lecture mara wazungu siyo wazuri, mara wazungu vile. Hawajaelewa unachoandika? Wewe umesema unataka kuzaa na mzungu full stop. Haya mengine yote ni ya nini?

Wengi wameshaona wivu na hayo mengi wanayoelezea ni matokeo ya wivu. Unajua wanasaikolojia hata ile zomea zomea ya Kariakoo wanayozomewa wadada wenye nguo fupi ni namna ya wanaume kujiliwaza kwani wanapoona hawawezi kumpata huyo mwanamke.
 

48 mama yako kabisa utamzalisha kweli? Kama umedhamiria kupata mtoto na mzungu lenga kati ya miaka 30-40. Toka huko kwenye 23 utapoteza muda wako tu.
 
48 mama yako kabisa utamzalisha kweli? Kama umedhamiria kupata mtoto na mzungu lenga kati ya miaka 30-40. Toka huko kwenye 23 utapoteza muda wako tu.

Mie mdada sio mbaba
 

Nimeona kwakweli
 

Asante
 
"Kama ulikuwa unafikiri MZIKI MNENE tumefika mwisho ,naomba nikwambie HATUJAMALIDHAAAAA".
 
Hao raia wa Ukraine wapo maeneo gani hapo Shamba? Natarajia kufanya utarii huko hivi karibuni.
 
mamamzungu mamamzungu Ukija Iringa au kama upo Iringa, tembelea Sana Neema Cafe. Wazungu wanapapenda Sana, ni sehemu nzuri ya kunywa kahawa.
Amini hutakosa mawindo yako.
 
Hao raia wa Ukraine wapo maeneo gani hapo Shamba? Natarajia kufanya utarii huko hivi karibuni.
Hotel zilizo nje ya mji ufukweni na wengine wamepata hifadhi kwenye vijiji Huko Matemwe Beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…