HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye kupokea kitumbuaKuna jamaa yangu yeye ni rasta na ana hostel ya kufikia wamarekani.
Huwa anawaunga sana wadada wa kibongo.
Mashrti yake umtumie picha yako awaonyeshe hao wazungu.
Ujira wake mtaelewana ukiwa utamvutia hata kitumbua anapokea
Naye ni mtu jmn akivitiwa na wewe sio mbaya ukamshukuru kwa tumbua kidogo tu🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye kupokea kitumbua
Kitumbua hakigawi hovyo hovyo just bcoz mtu kavutiwa..Naye ni mtu jmn akivitiwa na wewe sio mbaya ukamshukuru kwa tumbua kidogo tu[emoji1787][emoji1787]
Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
Hapa utatukanwa matusi yote. Hakuna watu wenye wivu kama wanaume wa kibongo. Ona wameanza kukupa lecture mara wazungu siyo wazuri, mara wazungu vile. Hawajaelewa unachoandika? Wewe umesema unataka kuzaa na mzungu full stop. Haya mengine yote ni ya nini?Mbona umekazania sana mambo ya uzuri na ubaya
Mbona hamsemi kuna wabingo wanaume wanajichubua na kujipaka make-up ili waonekane wazuri
Mimi sijasema nawataka coz ni wazuri
Nileteeni mthungu nasema
Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
48 mama yako kabisa utamzalisha kweli? Kama umedhamiria kupata mtoto na mzungu lenga kati ya miaka 30-40. Toka huko kwenye 23 utapoteza muda wako tu.
Kila la kheri...
Hapa utatukanwa matusi yote. Hakuna watu wenye wivu kama wanaume wa kibongo. Ona wameanza kukupa lecture mara wazungu siyo wazuri, mara wazungu vile. Hawajaelewa unachoandika? Wewe umesema unataka kuzaa na mzungu full stop. Haya mengine yote ni ya nini? Wengi wameshaona wivu na hayo mengi wanayoelezea ni matokeo ya wivu. Unajua wanasaikolojia hata ile zomea zomea ya Kariakoo wanayozomewa wadada wenye nguo fupi ni namna ya wanaume kujiliwaza kwani wanapoona hawawezi kumpata huyo mwanamke.
Let's me congratulate this girl for expressing her feeling.
Wadau tuache ubaguzi wa kijinsia,yaan nimejaribu kupitia coment humu mmemshambulia sana uyu dada kana kwamba yeye ni mkosaji.
We human being we are equal lakini ikija maada ya mapezi utofauti unaazia apo,mwanaume akitoa hisia zake za mapenzi anaonekana mwamba sana.
,kwa mfano ukipitia kwenye maada ya kula tunda kimasihala wanaume ndo wameshamili sana but wanawake wakicoment wanaonekana tofauti.
Kwa hiyo dada nmeipenda iyo kutoa hisia zako,na nnaimani utafanikiwa.
Mbona sisi huwa tunatoa hisia zetu kuhusu madem tunao wataka na tunafanikiwa kuwapata,kwa nn isiwe ww.
Hongore tena
Kila la heri
Hao raia wa Ukraine wapo maeneo gani hapo Shamba? Natarajia kufanya utarii huko hivi karibuni.Nenda Zanzibar Kuna wazungu kibao kutoka Ukraine wametulia Shamba baada ya vita, kamchukue mmoja umsaidie kuishi huku Bara.
Pangani, Ushongo Beach wazungu wapo kibao, ukikosa Nenda Mike's Hotel Mike ni mholanzi mtafyatua katoto shombe shombe maana yupo kuwapa dada zetu watoto coloured.
mamamzungu mamamzungu Ukija Iringa au kama upo Iringa, tembelea Sana Neema Cafe. Wazungu wanapapenda Sana, ni sehemu nzuri ya kunywa kahawa.Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
No nia sio kukukatisha tamaa bali ni kaukweli kadogo tu.Niletee mthungu sijakata tamaa na maneno yako
Hotel zilizo nje ya mji ufukweni na wengine wamepata hifadhi kwenye vijiji Huko Matemwe BeachHao raia wa Ukraine wapo maeneo gani hapo Shamba? Natarajia kufanya utarii huko hivi karibuni.