Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko