mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe nakichwa chepesi kusahau ,ccm miaka yote ndiyo wagonga meza ...utawalaumu akina zito waliokua watatu pengine ,sema bunge LA ccm.sio LA jamhuri yamuungano tz almaarufa LA TanganyikaHyo sheria ilitungwa mwaka gani? Hao akina Zitto wako bungeni miaka nenda miaka rudi leo ndo wanaiona baadfa ya Magufuli kudhibiti mianya yao ya kutuibia?
Huyu mzee wa jalalani akiikodoa ile mimacho yake kama mjusi kabanwa na mlango, mbona watasha wataachia tu mihela???Mzee wa Jalalani kishadai kuwa hawabaguliwi na next month akitua Gineva atawasomesha... Sasa sijui unataka Mabeberu wafanikiwe mara ngapi kwa hili...!!?
Mkuu naomba nikukumbushe tu kwamba, WB hawakuzuia mkopo kwasababu heti Rais amesema kuwa hasomeshi wajawazito bali huyu anaye jiita mwana harakati mh Zitto kaandika barua kwa WB akiwaomba kuzuia mkopo kwasababu anataka watoto wenye mimba waruhusiwe kusoma.Hatulazimishwi na wazungu kuwa mashoga.
Kama unataka kuwa shoga hata leo hakuna anayekukataza.
Wala hayuko polisi anayepita vyumbani mwa watu kutafuta mashoga.
Leo hii ukiamua kuwa shoga, hukamatwi, na huna kisingizio cha kusema umelazimishwa na wazungu.
Kama ni suala la kukosa mkopo kwa kutojua madhara ya kupangilia maneno kabla ya kusema, basi tukubali kwamba hili ndilo tatizo letu.
Mwambieni mzee Meko aongee kwa staha na heshima kwa jamii, vinginevyo haya ndiyo madhara yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
nijuavyo mimi hii sheria imekuwepo toka kitambo, ni ujuha wa mtu mmoja alieropoka majukwaani mpaka ikapelekea wazungu kusikia na kuanza kutujadili, mara oohh sisi ni matajiri, kujitapa pasipokua na mpango ndio yanaletezea haya, kwa hio tukubaliane tu hamna namna!
Mhanga wa mimba za shuleni.Nji hii tajiri tena ina hela za kutosha hatubabaiki na kimkopo cha tilioni moja mabeberu watembee mbere kama tumenunua madreamliner manane cash. Hatuwezi kukosa tilioni moja ya kusomesha wanyonge
Hakuna aliyesema mimba ziruhusiwe mashuleni bali mtoto hapaswi kupewa adhabu ya kukosa elimu kisa tu amepata mimba akiwa shuleni.Nadhani ka hilo ndio limempeleka Zitto huko na aende zake huko akawaombe WB watunyime huo mkopo. Mimi si mtetezi wa serekali ila nasema; Kama sharti la kuupata huo mkopo ni lazima kubadili sheria na kuruhusu mimba mashuleni, basi na tuukose.
Sheria hii haikuanza leo, imekaa nasi tangu uhuru, ndo maana wanawake wengi wakasoma. Sasa kama mnaanza kuruhusu huu mchezo shuleni nadhani mnamaliza kabisa kaelimu ketu haka ka kuungaunga.
We msichana; Huwezi kutumikia mabwana wawili. Huku shule huku mtoto na jioni ukitoka uende kumtumikia bwanako pia kwani yeye ndiye atakuwa anakulipia shule mahitaji yako yote. Uwezo huo unao??
Najua wapo mtakaosema; Mbona wanaojiunga na pprivate schools huwa wanafanya vyema?? Sawa, lakini wachunguze mapito wanayo yapitia. Leo mkiruhusu huu upuuzi ndo mtajua mlikoenda.
Tusikubali ujinga huu. Heri tukose mkopo huu ku;liko aibu inayo fuata
Basi watulie waache kulilia misaada kwanza wameshasema Tanzania ni donor country.Hili la watoto wa kike kupata mimba limekuwepo kwenye sheria za shule toka enzi za mchonga.
Ni malimbukeni wa kujikomba kwa mabeberu ndio wanadhani wataendelea kula grants in the name of social justice and human rights advocacy.
Kuna watu wanapata moto as if ni JPM ndiye kaasisi utaratibu huu mashuleni. Kwanza ikumbukwe enzi tunasoma, kosa la uasherati tu ( hata kama mimba haijaingia) ilikuwa ikithibitika watu walikuwa wanapugwa.
Umasikini mbaya sana. Unakopa kwa ajili ya shule, yet anaekukopesha kwa kuwa wao moral decay is the "culture" in their communities wanataka na sisi tulegeze msimamo, walete tabia huria za hivyo kwenye jamii zetu.
Mambo haya, mbona mabeberu hawayatiliii maanani kwa nchi kama Saudia?
Poverty is very very expensive
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye raiya andika viongozi.TataMadiba, Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Taifa linaloongoza kwa kuwa na Raia Wanafiki duniani basi ni Tanzania na sasa naamini.
Nadhani huyo mwanamke ndo ajue kuwa si vyema kuzaa ukiwa bado shuleni. Ndo maana ya hiyo adhabuHakuna aliyesema mimba ziruhusiwe mashuleni bali mtoto hapaswi kupewa adhabu ya kukosa elimu kisa tu amepata mimba akiwa shuleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂nacheka lakini naogopaa!Hao WB tunaweza kuwakopesha sisi tunatembea vifua mbele
By the way tume-donate by implication Tril 400+ kwa kumsamehe Barrick;Basi watulie waache kulilia misaada kwanza wameshasema Tanzania ni donor country.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado bibi yako alikaza sana labda uje unifungue wewe.