Wazungu wanajitunza ndio sababu wanaishi muda mrefu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Just imagine unazaliwa unawakuta wakina bush,50 cent,Trump,Celine dion,Jay z,lil Wayne, Timberlake,will Smith, Eminem, John deep, Britney Spears,john cena, Batista na wengineo Wengi wanasiasa, wanamichezo na Watu maarufu Cha ajabu unaweza ukazeeka au ukafa huku umewaacha Wana shine.

Ila ukija huku kwetu mastar kibao wanakufa idadi hawana. Mifano ipo mingi tukisema tuwataje hatutamaliza leo ila shangaa kwa wazungu msiba mmoja tu wa Michael Jackson na wa Kobe mcheza kikapu basi ndo ninaoujua.
 
Diamond anamichepuko kumi yaani kila msichana mweupe ataka aone k yaani uliiisha muziki na yeye amekufa
 
Me hakuna nnaemjua hapa bongo zaidi ya Kanumba,Ngweir na Mzee Majuto🚶🚶🚶
 
John deep,
Huyu jamaa namkubari sana, ila tatizo anakula unga pombe sana, hadi anakunya kitandani. Yeye na mke wake wanapigana kiasi kwamba kwa sasa wanashitakiana kila mmoja akimtuhumu mwenzake kwamba alikuwa anamdunda.
 
Wengi tu wanakufa huko hasa wasanii. Tena wakiwa vijana kabisa
 
Maisha magumu ya afrika yanachangia sisi kuishi muda mfupi... Yaani ni mwendo wa kuhustle tangu kuzaliwa hadi kufa. Hakuna uhakika hata wa huduma muhimu za kibinadamu kama afya, maji safi, mavazi, malazi, chakula n.k

lakini pamoja na hayo yote unakuta kijana wa miaka 25 ashatembea na wanawake/wanaume zaidi ya 10, mlevi, mvuta sigara, na ana mpenzi zaidi ya mmoja😁

kwa ujumla mfumo wa maisha ya africa unatudumaza na kutuweka ktk hatari ya kuzeeka haraka au kufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…