ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Just imagine unazaliwa unawakuta wakina bush,50 cent,Trump,Celine dion,Jay z,lil Wayne, Timberlake,will Smith, Eminem, John deep, Britney Spears,john cena, Batista na wengineo Wengi wanasiasa, wanamichezo na Watu maarufu Cha ajabu unaweza ukazeeka au ukafa huku umewaacha Wana shine.
Ila ukija huku kwetu mastar kibao wanakufa idadi hawana. Mifano ipo mingi tukisema tuwataje hatutamaliza leo ila shangaa kwa wazungu msiba mmoja tu wa Michael Jackson na wa Kobe mcheza kikapu basi ndo ninaoujua.