Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema NO kwasababu mbalimbali zikiwepo zile za:

1. Whites are always rights
2. Whites are intelligent
3. Whites know everything
4. Whites are much better (superiors) than blacks, so you can not argue with them
5. Whites are richer than blacks, saying no to them will lead into losing their financial supports
6. Whites have military powers they can use them to sack african leaders out of power if they go against them.

Rais Magufuli anaifahamu siri hii kubwa ya wazungu. Rais Magufuli anafahamu kuwa siri kubwa ya kufanikiwa ni:
1. Kuwaamini wataalam wako
2. kuwa suspicious (paranoid) na kila mtu wa nje na ndani kwenye uchumi, afya na mipango ya taifa.
3. Kuwa siri kubwa ya maendeleo ni wananchi kulipa kodi, matumizi bora ya fedha zako na kujitegemea
4. win-win projects kutoka kwa wazungu na wenye mitaji wanaotaka kuwekeza

Inawezekana sisi wenyewe hatujui lakini wazungu weshajua miaka 5 iliyopita.
 
mkuu acha masihara basi

Unataka sema iyo namba 1-6 ni uongo

maggu hana ubavu wa kupambana na wazungu ila anatapa tapa tu kujifariji

kwamba uamini wataalamu wataalamu gani hawa wa kutengeneza mchuzi wa chachandu eti dawa ya korona acha utani basi
 
Ndugu yangu mpendwa haya mapungufu machache tunayoyaona sasa kwenye serikali ya Rais Magufuli ni kwasababu/genesis ya:

1. Hakuna binadamu aliyemkamilifu
2. Hamaki za wazungu bila shaka za watu wao kuhusu uzibwaji wa stew/mirija yao ya ulaji waliouzoea miaka nenda rudi, hivyo wanapaza sauti kubwa kwake za huyo huyo huyo huyo mchinje mchinje, haki za binadamu, haki za mazingira, dikteta dikteta, mnyimeni hiki mnyimeni kile, the Hague, the Hugue, nk. Hivyo kama binadamu lazima atakasirika na kushindwa kutambua nani anasema ukweli na nani anamdanganya. Kuna wakati inambidi ayaamini mawazo yake tu mwenyewe, maana hata wana CCM wenzake walikuwa wakiimba tu iyena iyena miaka yote hata pale nchi ilipokuwa ikiporwa.

Yaani hata wewe siku ukigundua kuwa hata mke wangu alikuwa kumbe anamfahamu na kumfurahia mwanaume aliyemtia mimba binti yetu hutamuamini tena.

Magufuli aliwakuta wanaccm wenzake wakiimba, kufurahia na kuhusika na ubadhilifu, wizi na ufisadi lakini Kapteni John Komba rip alikuwa akitunga na kuwaimbisha wenzake nyimbo za kuisifia ccm na serikali yake bila kutunga nyimbo za kukemea mauji ya tembo, uporwaji wa madini, watumishi hewa, safari nyingi, uuzwaji wa nyumba za serikali, mikataba mibovu ya uzalishaji umeme ya IPTL, Symbion, nk. Unadhani Magufuli angemuamini nani katika mazingira kama hayo?
 
Uliongea na wazungu wangapi wakakwambia hivyo?
acha masihala wewe, wazungu walishakariri kuwa viongozi wa Afrika ni wezi, IQ ndogo, wapenda anasa, wapenda misaada, hawakusanyi kodi maana wanaogopa kunyimwa kura, wapenda matanuzi na safari za ulaya, wake wengi.

Huyu w sasa wanashindwa kuamini kama ni mwafrika kweli au ni kichaa.
 
Kitengo Chenu cha propaganda kimekosa watu sahihi hasa kipindi hiki cha maendeleo ya teknolojia ya habari. Ambapo habari zote na taarifa za ulimwengu zipo kiganjani
 
kwahiyo ungependa tungeendelea na mikataba ileile ya mitambo ya kufua umeme kwa kutumia mafuta mazito, mikataba ya madini, watu kukwepa kodi, tembo kuuliwa na twiga kupandishwa ndege?
 
Kitengo Chenu cha propaganda kimekosa watu sahihi hasa kipindi hiki cha maendeleo ya teknolojia ya habari. Ambapo habari zote na taarifa za ulimwengu zipo kiganjani
Kama wewe ni kanda ya kaskazini sishangai unapoyanena hayo, maana kuna chochoro zenu nyingi haramu zimenyoroshwa.
 
Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema NO kwasababu mbalimbali zikiwepo zile za:

1. Whites are always rights
2. Whites are intelligent
3. Whites knows everything
4. Whites are much better (superiors) than blacks, so you can not argue with them
5. Whites are richer than blacks, saying no to them will lead into losing their financial supports
6. Whites have military powers they can use them to sack african leaders out of power if they go against them.

Rais Magufuli anaifahamu siri hii kubwa ya wazungu. Rais Magufuli anafahamu kuwa siri kubwa ya kufanikiwa ni:
1. Kuwaamini wataalam wako
2. kuwa specious na kila mtu wa nje na ndani kwenye uchumi, afya na mipango ya taifa.
3. Kuwa siri kubwa ya maendeleo ni wananchi kulipa kodi, matumizi bora ya fedha zako na kujitegemea
4. win-win projects kutoka kwa wazungu na wenye mitaji wanaotaka kuwekeza

Inawezekana sisi wenyewe hatujui lakini wazungu weshajua miaka 5 iliyopita.
Acheni kumjaza sifa za kijinga huyu mtu wenu. Mnazidi kumpoteza, anaongeza kuharibu
 
Vitu vya msingi kwa raia
1.ajira za uhakika
2. Gharama ndogo za maisha
3. Kodi stahiki na zisizoumiza
4. Malazi/uhakika wa kujenga
5.fursa za Kiuchumi sekta zote
6.Huduma bora za umma kv afya,elimu,barabara,mawasiliano n.k
7......

Awe msukuma,mchaga,mzaramo n.k
 
Hivi ni mzungu gani angekuja kutulindia tembo na twiga wetu wasiuawe? Ni mzungu yupi angekuja kutulindia madini yetu, ni mzungu gani angekuja kujenga bwawa la umeme na reli ya kisasa? Wacha tule manyasi lakini tuijenge miundo mbinu yetu muhimu.
 
Vitu vya msingi kwa raia
1.ajira za uhakika
2. Gharama ndogo za maisha
3. Kodi stahiki na zisizoumiza
4. Malazi/uhakika wa kujenga
5.fursa za Kiuchumi sekta zote
6.Huduma bora za umma kv afya,elimu,barabara,mawasiliano n.k
7......

Awe msukuma,mchaga,mzaramo n.k
Umeonae!!! Siku zile kuna mikoa ambayo umeme ulisambazwa hadi kwenye mashamba ya migomba huku mikoa mingine ikiwa haina umeme wa grid hata kwenye makao makuu ya mkoa.
 
Acheni kumjaza sifa za kijinga huyu mtu wenu. Mnazidi kumpoteza, anaongeza kuharibu
Acheni kumjaza sifa za kijinga huyu mtu wenu. Mnazidi kumpoteza, anaongeza kuharibu
Apende asipende tutamuongezea muda kama kama kama ujenzi wa reli, bwawa la umeme, ununuzi wa meli 5 kubwa za uvuvi wa maji marefu na ujenzi wa bandari za kisasa na barabara za juu kwenye maeneo korofi nchini hautakamilika.
 
Vitu vya msingi kwa raia
1.ajira za uhakika
2. Gharama ndogo za maisha
3. Kodi stahiki na zisizoumiza
4. Malazi/uhakika wa kujenga
5.fursa za Kiuchumi sekta zote
6.Huduma bora za umma kv afya,elimu,barabara,mawasiliano n.k
7......

Awe msukuma,mchaga,mzaramo n.k
Yote hayo hayapatikani kama uzalishaji, ukusanyaji wa mapato na nidhamu kwenye matumizi hakuna .
 
Rudi katika uhalisia katazame maisha ya watanzania wakaida na hali zao kiuchumi halafu ndio useme ubora wa kiongozi huyu tuliye nae
 
Mfano moja ya vitu vilivyotokea kwenye uongozi ni mataasisi mengi yanayohusika na ukopeshaji wa fedha yametetereka kama sio kufa kabisa na urudi kuangalia ni kundi gani la watu waliyokuwa wanategemea fedha zamikopo kutoka katika makampuni hayo jibu ni watanzania wakawaida sasa rudi katazame maisha yao
 
Vitu vya msingi kwa raia
1.ajira za uhakika
2. Gharama ndogo za maisha
3. Kodi stahiki na zisizoumiza
4. Malazi/uhakika wa kujenga
5.fursa za Kiuchumi sekta zote
6.Huduma bora za umma kv afya,elimu,barabara,mawasiliano n.k
7......

Awe msukuma,mchaga,mzaramo n.k

Hawa ni wapiga zomari na kelele na hua wao ni kusifia kila jambo, kwanza nilishangaa watatfiti wetu kuja na story za tangawizi na kitunguu saumu wanadhani hayo mazao dunia nzima tunalima peke yetu, wanashangaza sana hawa watu kwenye corona mimi sipo nao kabisa
 
Mfano moja ya vitu vilivyotokea kwenye uongozi ni mataasisi mengi yanayohusika na ukopeshaji wa fedha yametetereka kama sio kufa kabisa na urudi kuangalia ni kundi gani la watu waliyokuwa wanategemea fedha zamikopo kutoka katika makampuni hayo jibu ni watanzania wakawaida sasa rudi katazame maisha yao

Dunia ya leo kumdanganya mtu kwa flyover nayo yataka moyo, ajira hakuna, mishahara watumishi wanalia, biashara zinakufa bado huyu jamaa analeta porojo utawaeleza nini watanzania waliopotelewa na ndugu zao kwa ugonjwa wa corona ambao jina umebadilika ukaitwa changamoto ya upumuaji, maana ya changamoto ni kitu ambacho hua kinaweza kutatuliwa na hata kisipotatuliwa hakina madhara sana, corona sio changamoto ni tatizo na ndio maana linaacha madhara makubwa sana
 
Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema NO kwasababu mbalimbali zikiwepo zile za:

1. Whites are always rights
2. Whites are intelligent
3. Whites knows everything
4. Whites are much better (superiors) than blacks, so you can not argue with them
5. Whites are richer than blacks, saying no to them will lead into losing their financial supports
6. Whites have military powers they can use them to sack african leaders out of power if they go against them.

Rais Magufuli anaifahamu siri hii kubwa ya wazungu. Rais Magufuli anafahamu kuwa siri kubwa ya kufanikiwa ni:
1. Kuwaamini wataalam wako
2. kuwa specious na kila mtu wa nje na ndani kwenye uchumi, afya na mipango ya taifa.
3. Kuwa siri kubwa ya maendeleo ni wananchi kulipa kodi, matumizi bora ya fedha zako na kujitegemea
4. win-win projects kutoka kwa wazungu na wenye mitaji wanaotaka kuwekeza

Inawezekana sisi wenyewe hatujui lakini wazungu weshajua miaka 5 iliyopita.
Wazungu gani labda shahawa
 
Back
Top Bottom