MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
kuna sehem moja ya mwili wa dada zetu ambao hata wafanyeje itabakia katika rangi yake ya kiifarika..nyeusi tiiiiiiii--kitendawili ???nipeni mji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli MM manake hata wanaume nao siku hizi wanaanza kupotea njia na kuwa kama hawa wanawake. Mwanaume sijui anajirembea nini?Anayetumia vipodozi vizuri huwezi kuwa na utata wa uzuri wake kwani vipodozi huuthibitisha tu.