Wazungu washwahili duh

kuna sehem moja ya mwili wa dada zetu ambao hata wafanyeje itabakia katika rangi yake ya kiifarika..nyeusi tiiiiiiii--kitendawili ???nipeni mji
 
Anayetumia vipodozi vizuri huwezi kuwa na utata wa uzuri wake kwani vipodozi huuthibitisha tu.
Ni kweli MM manake hata wanaume nao siku hizi wanaanza kupotea njia na kuwa kama hawa wanawake. Mwanaume sijui anajirembea nini?
 
hivi hako kadada ka Star TV nani anakagecha hapa town?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…