Labda fursa za mafuta kupanda bei na gharama za maishaOut of Point ; Marekani kuna fursa nyingi sana kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Wazungu ndio wawaone waafrica huruma na sio verse versa.
Wazungu wajjnga sana.Hali ni mbaya mno huko Ufaransa, Italy, Belgium, Albania na maeneo mengine ya Ulaya.
Nchi zilizostarabika zinagawa silaha kwa waafrika wenzetu huko Congo, Mali, Niger, Bukinafaso ili wauwane wenyewe kwa wenyewe alafu nchi hizo zinazojifanya zimestaarabika ziweze kuiba na kwenda kuponda raha katika mataifa yao.Wazungu wajjnga sana.
Waislamu na miafrika haitakiwi kukaribishwa kwenye nchi yeyote ile iliyostarabika
Sijui kwanini ukiwa kobazi kuna aina fulani ya mtindio wa ubongo unaipata.Hawa watu wakiongozwa na shetani mkuu ( USA ) na kibaraka wake Israel wamekuwa wakiendesha vitendo vya kikatili, na unyama wa hali ya juu dhidi ya Iran na mataifa mengine yanayopinga kushikiwa akili na Marekani.
Waliiwekea Iran vikwazo vikali vya kiuchumi kuliko nchi yoyote hapa duniani, ili vitumike kama silaha ya wairan kuingia barabarani kupambana na viongozi wao, au ikiwezekana jeshi litumie udhaifu huo wa kiuchumi kuipindua serikali yao.
Baada ya njia zote kugonga mwamba shetani mkuu na kibaraka wake Israel wakaamua kuingia vitani na Iran, huku vibaraka wengine kama Ufaransa, UK, Ujeruman nk wakitoa msaada kwa njia za uficho ili kuepuka aibu ya kushindwa pamoja.
Iran akiwa peke yake ameweza kuidhibiti hali na kufunga njia ambazo zinawapa wazungu jeuri ya kuendesha uchumi wa nchi zao ( nishati ) na kuhakikisha hakuna kenge yeyote ( adui ) anaepata nafasi ya kupenya katika eneo hilo bila idhini ya Iran.
Sasa leo hii ule ugumu wa maisha waliokumbana nao Iran kutokana na vikwazo vyao vya kiuchumi kwa Iran umewageukia na wao. Mafuta yamepanda bei, hivyo kusababisha gharama za maisha kuwa juu kwa vibaraka wote akiweko shetani mkuu Marekani mwenyewe. Na hapo bado hata miezi 10 haijafika kudadeki.
Bila kutubu kwa Iran, nchi hizo zitaendelea kukumbana na matatizo makubwa ya kiuchumi, pamoja na maandamano yasioisha.
Ni Swala la Muda tu.
Wewe mwenyew umeshafeli kwa kukimbilia kutanguliza udini katika post ambayo haikuzungumzia dini.Usiangalie matatizo ya ulaya kwa jicho la kiislam utafeli, yale ni mambo ya siasa za kiliberali na kihafidhina
Na ukiwa shoga lazima uwe upande wa dini za wazungu na wayahudi kwa sababu huko ndio haki zenu zote zinapatikana bila usumbufu.Sijui kwanini ukiwa kobazi kuna aina fulani ya mtindio wa ubongo unaipata.
Pole sana gaidi mwandamizi ila ulaya na usa ndio wanashikilia uchumi wa dunia.
Fursa za kufanya kazi ili ulipe bills , kodi nyingi hamseni , yaani mshahara wote mnalipia kwenye kodi ..Ujinga wenu nyie wakimbizi , ni kushangaa yale maghorofa tu basi ila kwa ground miaka kumi unaishi kwenye apartments .Out of Point ; Marekani kuna fursa nyingi sana kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Wazungu ndio wawaone waafrica huruma na sio verse versa.
Duuuuh hii ndio kusema tema mate tumchape?Mtoa mada kobaz na wewe mvaa Pampers wa kiyahudi
Kwa hio arudi bongonyoso aje kulima vitunguu na matikiti au sio?Fursa za kufanya kazi ili ulipe bills , kodi nyingi hamseni , yaani mshahara wote mnalipia kwenye kodi ..Ujinga wenu nyie wakimbizi , ni kushangaa yale maghorofa tu basi ila kwa ground miaka kumi unaishi kwenye apartments .
Nchi ina uchumi mkubwa ila kodi kama zote , medical bill ni kubwa hata kuita ambulance sio bure , hizo pesa wanapeleka wapi ? Unaongelea fursa za kupewa pesa mkono wa kulia na kuzitoa mkono wa kushoto ..Hakuna maisha huko , wengi mnalelewa tu .
Wengi wanapoteza muda tu hasa hao wanaokwenda kushangaa , kuna wanaharakati ambao wanalishwa kama mifugo huko .Kwa hio arudi bongonyoso aje kulima vitunguu na matikiti au sio?