Propaganda uchwara siku hizi hazina mashiko unless uwe shoga wa kushiriki mapenzi ya jinsia moja ndo utakubali kila unachoambiwa na wazungu sababu ndio watetezi wao. Hebu angalia hapo chini 👇Huwa wanafundishwa chuki mbaya Sana dhidi ya wasiokuwa upande wao huko madrasa toka wakiwa wadogo na mbaya zaidi huwa wanafundishwa kuwavizia na kuwachinja so usishangae
Kukujibu mtu mwenye kichwa box kilichojaa kamasi badala ya akili kama wewe ni kupoteza muda bure.No nyie mnafundidhwa chuki toka mkiwa wadogo kwenye hizo madrasa zenu na hata Mungu wenu Allah kwenye kitabu alichokupeni kakufundisheni kuwachukia kuwavizia na kuwachinja wasiyokuwa upande wenu huu ndiyo ukweli
Upo sahihi kabisa,waache kumsikiliza US,Ila hawa mbwa walivumilia aisee. Baada ya vikwazo kwa Russia kuna nchi za ulaya kama German, Uholanzi Ufaransa nk zilitikisika kiuchumi
Strait of Hurmuz ndio kiboko yao. Wametoka mapangoni. Hii inasambaa kama ile Arab spring ya 2011.
Kuna serekali zitaanguka hapa. Huu ni muda kwa nchi za ulaya kuancha kuisikiliza marekani.
Hakika.. wazungu wa Ulaya wanatakiwa waache kufanywa daraja na Marekani. Wajisimamie na kuangalia masilahi yao. Haya mambo ya kurithishwa maadui na Marekani ndio yanayowa cost sasa hivi.Ila hawa mbwa walivumilia aisee. Baada ya vikwazo kwa Russia kuna nchi za ulaya kama German, Uholanzi Ufaransa nk zilitikisika kiuchumi
Strait of Hurmuz ndio kiboko yao. Wametoka mapangoni. Hii inasambaa kama ile Arab spring ya 2011.
Kuna serekali zitaanguka hapa. Huu ni muda kwa nchi za ulaya kuancha kuisikiliza marekani.
Hawa watu wakiongozwa na shetani mkuu ( USA ) na kibaraka wake Israel wamekuwa wakiendesha vitendo vya kikatili, na unyama wa hali ya juu dhidi ya Iran na mataifa mengine yanayopinga kushikiwa akili na Marekani.
Waliiwekea Iran vikwazo vikali vya kiuchumi kuliko nchi yoyote hapa duniani, ili vitumike kama silaha ya wairan kuingia barabarani kupambana na viongozi wao, au ikiwezekana jeshi litumie udhaifu huo wa kiuchumi kuipindua serikali yao.
Baada ya njia zote kugonga mwamba shetani mkuu na kibaraka wake Israel wakaamua kuingia vitani na Iran, huku vibaraka wengine kama Ufaransa, UK, Ujeruman nk wakitoa msaada kwa njia za uficho ili kuepuka aibu ya kushindwa pamoja.
Iran akiwa peke yake ameweza kuidhibiti hali na kufunga njia ambazo zinawapa wazungu jeuri ya kuendesha uchumi wa nchi zao ( nishati ) na kuhakikisha hakuna kenge yeyote ( adui ) anaepata nafasi ya kupenya katika eneo hilo bila idhini ya Iran.
Sasa leo hii ule ugumu wa maisha waliokumbana nao Iran kutokana na vikwazo vyao vya kiuchumi kwa Iran umewageukia na wao. Mafuta yamepanda bei, hivyo kusababisha gharama za maisha kuwa juu kwa vibaraka wote akiweko shetani mkuu Marekani mwenyewe. Na hapo bado hata miezi 10 haijafika kudadeki.
Bila kutubu kwa Iran, nchi hizo zitaendelea kukumbana na matatizo makubwa ya kiuchumi, pamoja na maandamano yasioisha.
Ni Swala la Muda tu.
UHARO mtupu!!
Wazungu wajinga kweli sababu walitegemea wanaharibu nchi za watu halafu hao watu wakaishi wapi baada ya hapoWazungu wajjnga sana.
Waislamu na miafrika haitakiwi kukaribishwa kwenye nchi yeyote ile iliyostarabika
Nawewe harisha😊UHARO mtupu!!
Wazungu ndio walioanza kutoka kwao na kwenda kwenye nchi za wenzao since 1700sWazungu wajinga kweli sababu walitegemea wanaharibu nchi za watu halafu hao watu wakaishi wapi baada ya hapo
Waafrika na waarabu wanatakiwa wamiminike kwa wingi kwa hao wajinga wa kizungu
Nawewe kama sio mpumbavu kwanini upeleke sumu iende ikaue watoto wasiokua na hatiaMtu akija kwako akupe sumu uue watoto wako na wewe ukapokea mpumbavu hapo atakuwa nani
Kabisaaa tena waende kwa wingi KabisaaaWazungu ndio walioanza kutoka kwao na kwenda kwenye nchi za wenzao since 1700s
Wakimbizi wote ambao nchi zao zimeharibiwa na hawa wazungu,wanatakiwa waende huko huko kwa hao wazungu kuishi.
Mbona wewe hawajakuvizia wakakuchinjaHuwa wanafundishwa chuki mbaya Sana dhidi ya wasiokuwa upande wao huko madrasa toka wakiwa wadogo na mbaya zaidi huwa wanafundishwa kuwavizia na kuwachinja so usishangae
acha utani mkuu, ambulance sio bure kumbe?Fursa za kufanya kazi ili ulipe bills , kodi nyingi hamseni , yaani mshahara wote mnalipia kwenye kodi ..Ujinga wenu nyie wakimbizi , ni kushangaa yale maghorofa tu basi ila kwa ground miaka kumi unaishi kwenye apartments .
Nchi ina uchumi mkubwa ila kodi kama zote , medical bill ni kubwa hata kuita ambulance sio bure , hizo pesa wanapeleka wapi ? Unaongelea fursa za kupewa pesa mkono wa kulia na kuzitoa mkono wa kushoto ..Hakuna maisha huko , wengi mnalelewa tu .
Huu ndio ukweli wako ila ukweli wa uislam haujaamrisha hayoNo nyie mnafundidhwa chuki toka mkiwa wadogo kwenye hizo madrasa zenu na hata Mungu wenu Allah kwenye kitabu alichokupeni kakufundisheni kuwachukia kuwavizia na kuwachinja wasiyokuwa upande wenu huu ndiyo ukweli
Labda fursa za kuwa shogaOut of Point ; Marekani kuna fursa nyingi sana kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Wazungu ndio wawaone waafrica huruma na sio verse versa.
Kila sehemu kuna fursa,inategemea na akili ya mtu tu,Out of Point ; Marekani kuna fursa nyingi sana kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Wazungu ndio wawaone waafrica huruma na sio verse versa.
Hao wakimbizi ni matokeo ya hao wazungu kuharibu nchi zao,they're paying the price for what they did.Alafu kuna mtu anakuja kutoa lawama eti wakimbizi wanaharibu nchi za watu, nchi nyingi Sana kuna maandamano, kutokana na gharama za maisha kuwa juu, hali ikiendelea hivi, Moto utawaka kila sehemu