Nimefurahi sana kusikia mwamba Trump kasitisha misaada kwa nchi nyingine

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;

1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.

2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wametoa wapi.

Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?

Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
 
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;
1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko.
Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.
2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wanetoa wapi.
Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?
Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
hayo maswali matatu mojakwamoja yameipiga Tz

haiwezekani uchukue fedha zamiradi marekani akili na democrasia nchini pako ziko urusi na china

Hela uchukue Amerika heshima upeleke urusi na china..... siriaz!

Trump yupo sahihi, kila nchi ianze kujitambua na kuanza kujitegemea wao wenyewe Sasa, wasiendelee kuitegemea Marekani. Safi Sana hii, hii itawalazimisha Watu wengine waliopo duniani kote hususani Watu weusi kuanza kujitambua na kupata akili nzuri ya kuweza kujitegemea. Hatua hizi za Utawala wa Trump ni Kama 'Black Consciousness Campaign' kwa Watu weusi wote kabisa hapa duniani ili waache kutegemea Misaada kutoka Marekani. Ni mwanzo mzuri.

Kwanza Watawala wengi sana wa kutoka katika nchi za Afrika pamoja na Vibaraka wao daima wamekuwa wakiwasema vibaya sana Wazungu hususani Watu wa Marekani kuwa ni Mabeberu na Wapenda Ushoga, Sasa kwa hatua hizi za Utawala wa Trump zitasaidia Sana kukomeshwa kwa hiyo Misaada inayodaiwa kuwa eti 'imetoka na Mabeberu na Wapenda Ushoga.'
Watu wa Afrika (Watu weusi) hususani waTanzania sasa wanatakiwa waelekeze maombi yao ya Misaada kwenda kwa Marafiki zao wa nchi za Mashariki ambao wanawaona kuwa siyo Mabeberu na Wasiopenda Ushoga, nchi za China, Urusi, Korea ya Kaskazini, Belarus, n.k ili waweze kupatiwa Misaada kutoka huko.
 
Kwa nchi za kiafrika muathirika mkubwa atakuwa Yule Yule mlalahoi maskini
HAWA PIMBI(WALALAHOI) WAKISHAATHIRIKA NDIO AKILI ZITAANZA KUJIULIZA MASWALI MAGUMU.

TURUMP AONGEZE SPEED!!!

📌📌📌SHITHOLE COUNTRIES ZIMEBWETEKA SANA 60YRS PLUS POST INDEPENDENCE BADO TUNAJENGEWA VYOO.NI HUZUNI NA AJABU!!!!60YRS PLUS REALLY🙌🙌🙌

📌📌📌60YRS PLUS POST INDEPENDENCE BADO MTU AKIJENGA MADARASA NA AKACHANGIA MADAWATI NI HEADLINE😬😬😬

###TURUMP AONGEZE MBINYO HAKUNA NAMNA,UAFRICA NI LAANA!!!
 
Trump yupo sahihi, kila nchi ianze kujitambua na kuanza kujitegemea wao wenyewe Sasa, wasiendelee kuitegemea Marekani. Safi Sana hii, hii itawalazimisha Watu wengine waliopo duniani kote hususani Watu weusi kuanza kujitambua na kupata akili nzuri ya kuweza kujitegemea. Hatua hizi za Utawala wa Trump ni Kama 'Black Consciousness Campaign' kwa Watu weusi wote kabisa hapa duniani ili waache kutegemea Misaada kutoka Marekani. Ni mwanzo mzuri.

Kwanza Watawala wengi sana wa kutoka katika nchi za Afrika pamoja na Vibaraka wao daima wamekuwa wakiwasema vibaya sana Wazungu hususani Watu wa Marekani kuwa ni Mabeberu na Wapenda Ushoga, Sasa kwa hatua hizi za Utawala wa Trump zitasaidia Sana kukomeshwa kwa hiyo Misaada inayodaiwa kuwa eti 'imetoka na Mabeberu na Wapenda Ushoga.'
Watu wa Afrika (Watu weusi) hususani waTanzania sasa wanatakiwa waelekeze maombi yao ya Misaada kwenda kwa Marafiki zao wa nchi za Mashariki ambao wanawaona kuwa siyo Mabeberu na Wasiopenda Ushoga, nchi za China, Urusi, Korea ya Kaskazini, Belarus, n.k ili waweze kupatiwa Misaada kutoka huko.
Kila mtu apambane na mechi zake
 
nakubaliana na wewe ....haiwezekani mchana ushinde marekani usiku urusi na china
 
KWA AKILI ZA MWAFRIKA MIMI NASIMAMA NA WAZUNGU. BABU ZAO AKINA LIVINGSTONE,AKINA CARL PETERS WAMETUKANWA,WAMEBAGAZWA,WAMESHUSHIWA HESHIMA SANA NA WAANDISHI WENGI WALIOANDIKA HISTORIA YA UKOLONI.

MTU MWEUSI NI MLALAMISHI,MVIVU,MWENYE HUSDA,MBINAFSI,ASIYEPENDA USAFI,ASIYE NA MALENGO YOYOTE ANAISHI TU KIHASARA HASARA,HANA MPANGILIO YUPOYUPO TU BLADIFULL YAANI NI HUZUNI😭😭😭😭😭.

MTU MWEUSI POPOTE PALE DUNIANI NI MUARIBIFU ASIYETAKA KUVUJA JASHO ILI KUPATA CHA HALALI.WAAFRIKA NA UAFRICA NI LAANA!!!

WAZUNGU WALA SIO CHANZO CHA MATATIZO YETU. MATATIZO YETU NI SISI WENYEWE. INFACT HATA LEO WAKISEMA WAAFRICA WOTE TWENDE ULAYA NA MAREKANI ALAFU WAZUNGU WOTE WAJE AFRICA. BAADA YA MIAKA MITANO AFRICA ITAKUWA WONDERFUL NA MORE DEVELOPED UKILINGANISHA NA ULAYA NA MAREKANI ANBAYO ITAKUWA HAITAMANIKI.

WAZUNGU WANAPOMFANANISHA MUAFRICA NA NYANI KWA MARA YA KWANZA NILIONA NI MAKATILI SANA ILA UKIKAA CHINI UKATAFAKARI VIZURI. UNAGUNDUA WAZUNGU WAPO SAHIHI NA MUAFRICA NI ZAIDI YA NYANI YAANI NI MORE PRIMITIVE AND HOPLESS TYPE OF HUMAN RACE KUWAHII KUTOKEA🤝

📌UAFRIKA NI LAANA!!!
 
hayo maswali matatu mojakwamoja yameipiga Tz

haiwezekani uchukue fedha zamiradi marekani akili na democrasia nchini pako ziko urusi na china

Hela uchukue Amerika heshima upeleke urusi na china..... siriaz!
TRUE VERY WACHA WAENDE URUSI KUCHUKUA MISAADA
 
Tena sio Trump tu naona nchi zote zinazotoa misaada wasitishe kabisa ili masikini akili ziwakae sawa
Hamtakula mizizi ila mtapata akili za kuzalisha na kujituma haswa
Misaada ni sana na kuwa disabled
Africa ni Tajiri kwa sababu hawezi kutafuta mali kwenye umasikini
Ila watu ndio masikini kwa hiyo tubanwe ili tutumie utajiri wetu kujiendeleza
Wanatushangaa kwa ujinga wetu wa kuomba kila leo
 
Nchi zetu zina rasilimali nyingi lakini zinaishi kwa kutegemea misaada.
Misaada itakapokata, haimaanishi wataanza kutumia rasilimali; watamwacha mlalahoi ajipambanie.
Na hapo ndipo tusio na hatia tutaumia!
 
Yani all in all,tatizo ni viongizi wetu tu.
Wanaangalia matumbi yao na familia badala ya wananchi.
 
60 yrs mnakaa kusifiasifia viongozi km pesa wanatoa mifukoni mwao kumbe mnakandwa kodi na hapo bado mnapewa misaada kutoka nje ila pongezi zote sio kwa marekani pongezi zote ziende kwa Mheshimiwa
ujinga bado mwingi sana huku mavumbini.

TURAMPU AENDELEZE MBINYO LABDA MWQNGA UTAONEKANA.
 
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;
1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko.
Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.
2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wametoa wapi.
Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?
Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
Hakika Yuko Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom