Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

Kuna wakati miaka ya 1980s gazeti la Sani lilikiwa na sehemu ya kujifundisha Kilingala.

Bado nakumbuka.

Sango nini? Sango na ndako yayo?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Hiyo PDF yenye jina la LOBA LINGALA ni nzuri kwa kuanza kujifunzia kilingala. Lingala ni lugha nyepesi kabisa kujifunza pengine kuliko hata Kiswahili chetu. Pia ni pure Bantu language tofauti na kiswahili.
 
Hapa wadau

Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,

Mfano ule wimbo wa donat mwanza pale alipoimba “ Bana Congo tosimbanamaboko, congo elonga alimaanisha “ wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele “

Maneno kama Bolingo Nangai ni kusema mpenzi wangu au posa na bolingo inamaana ya kiu ya mapenzi, naomba wadau tuendelee kutiririka.
Nzambe na bomoyi
 
Hiyo PDF yenye jina la LOBA LINGALA ni nzuri kwa kuanza kujifunzia kilingala. Lingala ni lugha nyepesi kabisa kujifunza pengine kuliko hata Kiswahili chetu. Pia ni pure Bantu language tofauti na kiswahili.
Iko wapi hiyo mkuu ni brush brush Lingala yangu hapa?

Mimi naenda sana lugha, na nilijifunza Jamaican patois kwa kusikiliza dancehall/ reggae tu.
 
Iko wapi hiyo mkuu ni brush brush Lingala yangu hapa?

Mimi naenda sana lugha, na nilijifunza Jamaican patois kwa kusikiliza dancehall/ reggae tu.
Nime-attach hapo juu pdf files lingala. Angalia vizuri tu utaziona.
 
Attachments

Muhuni awilo alinivuruga saana kwenye coupe bibamba.
Pale anarap kilingala na kifaransa mixer.
 
Naika kupoteka, karipambilile, eh
Mwaka nakutayonja, nakutayonji
Navanta na mwi makonde
Vanemba, Newala
Hadi ku-Tandahimba
Naika kupoteka, karipambilile

Kilinfala cha NTWARA, basi kuna mbishi mmoja atabisha 🤣
 
Back
Top Bottom