Hiyo PDF yenye jina la LOBA LINGALA ni nzuri kwa kuanza kujifunzia kilingala. Lingala ni lugha nyepesi kabisa kujifunza pengine kuliko hata Kiswahili chetu. Pia ni pure Bantu language tofauti na kiswahili.Kuna wakati miaka ya 1980s gazeti la Sani lilikiwa na sehemu ya kujifundisha Kilingala.
Bado nakumbuka.
Sango nini? Sango na ndako yayo?
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Nzambe na bomoyiHapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa donat mwanza pale alipoimba “ Bana Congo tosimbanamaboko, congo elonga alimaanisha “ wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele “
Maneno kama Bolingo Nangai ni kusema mpenzi wangu au posa na bolingo inamaana ya kiu ya mapenzi, naomba wadau tuendelee kutiririka.
Iko wapi hiyo mkuu ni brush brush Lingala yangu hapa?Hiyo PDF yenye jina la LOBA LINGALA ni nzuri kwa kuanza kujifunzia kilingala. Lingala ni lugha nyepesi kabisa kujifunza pengine kuliko hata Kiswahili chetu. Pia ni pure Bantu language tofauti na kiswahili.
Nime-attach hapo juu pdf files lingala. Angalia vizuri tu utaziona.Iko wapi hiyo mkuu ni brush brush Lingala yangu hapa?
Mimi naenda sana lugha, na nilijifunza Jamaican patois kwa kusikiliza dancehall/ reggae tu.
Nitafuatilia, pia kuna hivi kutoka chimbo.Nime-attach hapo juu pdf files lingala. Angalia vizuri tu utaziona.
Nzambe apombola nayo mwanamboka.Nitafuatilia, pia kuna hivi kutoka chimbo.
Hii kwenye azalaki eeh?Nakingi Bino - Nakupendaga sana
''Tika ngai ngai Mokoo'' yaani Niache peke yangu au nipotezee
YeapHii kwenye azalaki eeh?
daa hongera nimeipenda hiiBanga makambo makambo ekobanga yo
Epuka matatizo matatizo yatakuepuka
Omona wapi basoso mibale tovanda maki moko
Uliona wapi kuku wawili wakaatamia yai moja?
Batalaka mwasi ya moninga
Wanatamani mke wa mtu mwingine
hahahaEtutana yango na yango...
Haziumani .nyama na nyama