proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
unazinguaNaika kupoteka, karipambilile, eh
Mwaka nakutayonja, nakutayonji
Navanta na mwi makonde
Vanemba, Newala
Hadi ku-Tandahimba
Naika kupoteka, karipambilile
Kilinfala cha NTWARA, basi kuna mbishi mmoja atabisha [emoji1787]
kweliExtra musica kwenye wimbo wa Losambo wanasema "Motu soki nanu akufi te, koseka ye te " Kama mtu Bado hajafa usimcheke
full mirahaJumanne kuanzia saa 4-7 usiku,mtangazaji ni Charles Machugu, anajitahidi kwa kiasi chake
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
mona bakosYakolo bambi, mokonzi monene na sakru
Naleta mkuu Simaro lutumba na kuna werra na ferre wote wanaimba kilingala ila ni kuchanganya na baswahili kabisa.tumeni na ngoma nzuri nzuri huku
Vita imanaHii kwenye azalaki eeh?
Tomvadi yo mwana kimonga ya miso ya mama......
YE WANA KATI NA NDAKO YA PAPA NAYE msaada apo inamaanisha nini?
Yupo ndani ya nyumba ya babayeWakuu anaye jua maana ya hii animbie