Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
US$ 1.9 x 2220 = TZS 4,218 hii mbona Watanzania tulio wengi tunaishi chini ya US$ 1.9.Share of population living under $1.9 a day
1οΈβ£Madagascar: 77.6%
2οΈβ£DR Congo: 77.1%
3οΈβ£Uzbekistan: 62.1%
4οΈβ£Nigeria: 53.5%
5οΈβ£Kenya: 42.8%
6οΈβ£Angola: 30.1%
7οΈβ£Ethiopia: 26.7%
8οΈβ£India: 21.2%
9οΈβ£South Africa: 18.9%
πBangladesh: 14.8%
1οΈβ£1οΈβ£Philippines: 8.3%
(World Bank)
Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5US$ 1.9 x 2220 = TZS 4,218 hii mbona Watanzania tulio wengi tunaishi chini ya US$ 1.9.
Familia yenye baba na mama na watoto watoto ni nadra sana kutumia zaidi ya TZS 15,000 kwa siku za kawaida hii ni sawa na US$ 1
Research is beaten by the researchUS$ 1.9 x 2220 = TZS 4,218 hii mbona Watanzania tulio wengi tunaishi chini ya US$ 1.9.
Familia yenye baba na mama na watoto watoto ni nadra sana kutumia zaidi ya TZS 15,000 kwa siku za kawaida hii ni sawa na US$ 1
π π π ni kweli mnatambulika kwa umasikini uliotopea 50% under helltanzagiza, rwanda, uganda, burundi, zimbabwe, somalia equals insignificant countries...zinafaa ziwe ndio zinaongoza pale by the way ila hakuna haja ya kutaja nchi ambazo hazijulikani kama ni nci au vijijiView attachment 866966View attachment 866966ndio maanake unaona pale kina SA, Nigeria, egypt, ethiopia kenya na kadhalika...nchi zinazotambulika...not insignificant ambazo huwa tunaziita 'others'View attachment 866969View attachment 866966View attachment 866966
Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380Research is beaten by the research
Sio hii mbona watanzania wengi.......
Lete research
Asubuhi Mkate 2,000 + Sukari 2500/8= 312.50 Majani 100 nishati 500 = 2,912.50Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5
Sijabisha popote,na wanaoishi kwa mishahara pekee ni waajiriwa wapya,mshahara hautakaa utoshe mzeya..Asubuhi Mkate 2,000 + Sukari 2500/8= 312.50 Majani 100 nishati 500 = 2,912.50
Mchana jioni Unga 3,000 + Mafuta 500 + Viungo/mboga 1,500 + Chumvi 100 + Kitoe 3000 + nishati 2,000 =10,100
Jumla kuu TZS 13,012.50 kadirio la juu TZS 15,000. Kwa familia ya watu saba 15,000/7 = 2,142
Kwa nini mnabisha wakati mishahara wastani ni chini ya TZS 500,000 kwa mwezi?
Uongo mtakatifu; mfanyakazi wa Dar anaamka saa 10 alfahiri anarudi nyumbani zaidi ya saa moja jioni hiyo shughuli nyingine anafanyia wapi?Sijabisha popote,na wanaoishi kwa mishahara pekee ni waajiriwa wapya,mshahara hautakaa utoshe mzeya..
Watu wanalima,bizz ndogo ndogo inakuaje uwaze chanzo kimoja tu,tena wanaoishi mikoani wanafuga pia so hata kama kuna uhaba mkubwa kiasi gani bado kuna unafuu wa maisha Tz japo wavivu na watu masikini wapo sana tu
Sasa kwa akili yako tu ya kawaida kuamka saa kumi Au saa tisa kuna kuzuia nn ww kufanya zaidi ya shughuli moja?Au Dar unaishi wewe peke yakoUongo mtakatifu; mfanyakazi wa Dar anaamka saa 10 alfahiri anarudi nyumbani zaidi ya saa moja jioni hiyo shughuli nyingine anafanyia wapi?
Nani kakuambia wametumia hiyo formula kukokotoa 1.9$/day?Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380
tanzagiza, rwanda, uganda, burundi, zimbabwe, somalia equals insignificant countries...zinafaa ziwe ndio zinaongoza pale by the way ila hakuna haja ya kutaja nchi ambazo hazijulikani kama ni nci au vijijiView attachment 866966View attachment 866966ndio maanake unaona pale kina SA, Nigeria, egypt, ethiopia kenya na kadhalika...nchi zinazotambulika...not insignificant ambazo huwa tunaziita 'others'View attachment 866969View attachment 866966View attachment 866966
Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380
Wewe utahesabu mpaka "Kibati" ni kipatoAhaaa haaa haaa
if you don't have any clue on the issues of unregistered businesses and unrecorded transactions, it's better to shut up.
Wewe utahesabu mpaka "Kibati" ni kipato
Alafu mbali na hio $1.9 a day, enda hapo kwa WB na ugeuze criteria to those living under $3.9 a day, For Kenya inapanda kidogo hadi 46%, But for Tanzania inaruka hadi 77% living under $3.9 a day.....what abt insignifcant republic of danganyika?
Mpuuzi huyo anaweza akawa kula kulala,mi wife kama hujaacha tsh 15000 huondoki,bi mkubwa anatumia tsh 10000 kwa siku na anakwambia haitoshi!Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5
Jembe nimekuelewa tumtemeMpuuzi huyo anaweza akawa kula kulala,mi wife kama hujaacha tsh 15000 huondoki,bi mkubwa anatumia tsh 10000 kwa siku na anakwambia haitoshi!