WB 🏦 : Kenya number 5 in horrible poverty in the world 🗺 now leading in the region 🌍 😊

tanzagiza, rwanda, uganda, burundi, zimbabwe, somalia equals insignificant countries...zinafaa ziwe ndio zinaongoza pale by the way ila hakuna haja ya kutaja nchi ambazo hazijulikani kama ni nci au vijiji
1537008056796.png
1537008056796.png
ndio maanake unaona pale kina SA, Nigeria, egypt, ethiopia kenya na kadhalika...nchi zinazotambulika...not insignificant ambazo huwa tunaziita 'others'
1537008120383.png
1537008056796.png
1537008056796.png
 
Daa kenya kumbe hali mbaya sana 42.9 pec chini ya dola 1. Tatizo hawataki kukubali ukweli ona sasa wamekuja umbuliwa na wb kweupe, halafu yalivyo majinga bado yanaendelea kubisha.
 
Share of population living under $1.9 a day

1️⃣Madagascar: 77.6%
2️⃣DR Congo: 77.1%
3️⃣Uzbekistan: 62.1%
4️⃣Nigeria: 53.5%
5️⃣Kenya: 42.8%
6️⃣Angola: 30.1%
7️⃣Ethiopia: 26.7%
8️⃣India: 21.2%
9️⃣South Africa: 18.9%
🔟Bangladesh: 14.8%
1️⃣1️⃣Philippines: 8.3%

(World Bank)

US$ 1.9 x 2220 = TZS 4,218 hii mbona Watanzania tulio wengi tunaishi chini ya US$ 1.9.

Familia yenye baba na mama na watoto watoto ni nadra sana kutumia zaidi ya TZS 15,000 kwa siku za kawaida hii ni sawa na US$ 1
 
Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5
 
Research is beaten by the research
Sio hii mbona watanzania wengi.......

Lete research
 
tanzagiza, rwanda, uganda, burundi, zimbabwe, somalia equals insignificant countries...zinafaa ziwe ndio zinaongoza pale by the way ila hakuna haja ya kutaja nchi ambazo hazijulikani kama ni nci au vijijiView attachment 866966View attachment 866966ndio maanake unaona pale kina SA, Nigeria, egypt, ethiopia kenya na kadhalika...nchi zinazotambulika...not insignificant ambazo huwa tunaziita 'others'View attachment 866969View attachment 866966View attachment 866966
😁 😁 😁 ni kweli mnatambulika kwa umasikini uliotopea 50% under hell
 
Research is beaten by the research
Sio hii mbona watanzania wengi.......

Lete research
Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380
 
Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5
Asubuhi Mkate 2,000 + Sukari 2500/8= 312.50 Majani 100 nishati 500 = 2,912.50
Mchana jioni Unga 3,000 + Mafuta 500 + Viungo/mboga 1,500 + Chumvi 100 + Kitoe 3000 + nishati 2,000 =10,100
Jumla kuu TZS 13,012.50 kadirio la juu TZS 15,000. Kwa familia ya watu saba 15,000/7 = 2,142

Kwa nini mnabisha wakati mishahara wastani ni chini ya TZS 500,000 kwa mwezi?
 
Sijabisha popote,na wanaoishi kwa mishahara pekee ni waajiriwa wapya,mshahara hautakaa utoshe mzeya..
Watu wanalima,bizz ndogo ndogo inakuaje uwaze chanzo kimoja tu,tena wanaoishi mikoani wanafuga pia so hata kama kuna uhaba mkubwa kiasi gani bado kuna unafuu wa maisha Tz japo wavivu na watu masikini wapo sana tu
 
Uongo mtakatifu; mfanyakazi wa Dar anaamka saa 10 alfahiri anarudi nyumbani zaidi ya saa moja jioni hiyo shughuli nyingine anafanyia wapi?
 
Sasa kwa akili yako tu ya kawaida kuamka saa kumi Au saa tisa kuna kuzuia nn ww kufanya zaidi ya shughuli moja?Au Dar unaishi wewe peke yako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380
Nani kakuambia wametumia hiyo formula kukokotoa 1.9$/day?
 
tanzagiza, rwanda, uganda, burundi, zimbabwe, somalia equals insignificant countries...zinafaa ziwe ndio zinaongoza pale by the way ila hakuna haja ya kutaja nchi ambazo hazijulikani kama ni nci au vijijiView attachment 866966View attachment 866966ndio maanake unaona pale kina SA, Nigeria, egypt, ethiopia kenya na kadhalika...nchi zinazotambulika...not insignificant ambazo huwa tunaziita 'others'View attachment 866969View attachment 866966View attachment 866966

Ahaaa haaa haaa
maneno mengi ya nini? KAMA unaimba taarab. lete facts and figures from credible authority.
Teh teh teh tihiii
maneno matupu hayatusaidii. sana sana tutakuona mwehu.
 
Mheshimiwa kundi kubwa la watanzania walioajiriwa wanalipwa chini ya TZS 500,000 kwa mwezi; chukulia huyo mtu au Mwalimu ana mke na watoto watano hii ni sawa wanaishi TZS 500,000/30/7 = TZS 2,380

Ahaaa haaa haaa
if you don't have any clue on the issues of unregistered businesses and unrecorded transactions, it's better to shut up.
 
Wewe utahesabu mpaka "Kibati" ni kipato
 
What is a problem with Nigeria..54 percent in a extremely poverty ..a country is full of oil..
 
what abt insignifcant republic of danganyika?
Alafu mbali na hio $1.9 a day, enda hapo kwa WB na ugeuze criteria to those living under $3.9 a day, For Kenya inapanda kidogo hadi 46%, But for Tanzania inaruka hadi 77% living under $3.9 a day.....
tena isitoshe,hapo kwa WB data ya Kenya ni ya 2005 wakati data ya Tz ni ya 2011...
 
Embu kwa uzoefu nipatie gharama Za milo ya siku moja kwa familia za kawaida uzozifaham...anzia asubuhi hadi jioni ..gusa nauli vocha gharama za maji nk ukimaliza tuwele interms of USD,assume ni kwa familia ya watu 5
Mpuuzi huyo anaweza akawa kula kulala,mi wife kama hujaacha tsh 15000 huondoki,bi mkubwa anatumia tsh 10000 kwa siku na anakwambia haitoshi!
 
Jembe nimekuelewa tumteme
 
Back
Top Bottom