WB: Nchi 5 zinazokopa zaidi Mikopo ya riba nafuu kupitia dirisha la IDA. Tanzania ya 3

WB: Nchi 5 zinazokopa zaidi Mikopo ya riba nafuu kupitia dirisha la IDA. Tanzania ya 3

Kukopa sio shida Bali matumizi yake na aina ya vipaombele ndio shida kubwa.

Tunatarajia Tume ya Mipango ndio iwe Inatoa guidance nzuri ya Serikali kukopa.
Tatizo kama unavyosema siyo kukopa, bali kukopa kwa kuzingatia vipaumbele vya kitaifa, mipango iwe thabiti na usimamizi mahiri wa matumizi ya hiyo mikopo na utekelezaji wa miradi. Usimamizi huo unaweza tu kuwa na mafanikio na kuwa endelevu kama kutakuwa na sheria katili za kuhakikisha wanaokiuka matumizi sahihi ya mikopo hiyo wanachukuliwa hatua stahiki bila kuwepo upendeleo na utashi wa kisiasa. Kinyume chake hata wanaotukopesha huwatuma majasusi na majangili wao kuja wakifuatana na hiyo mikopo kuhakikisha kuwa badala ya kutunufaisha sisi, inarudi kuwanufaisha waliotukopesha. Walio na ufahamu mzuri wa ujasusi wa kiuchumi duniani watanielewa.
 
Back
Top Bottom