Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Nimetafuta web site nimekutana na hii report kama ilivyo hapa chiniKitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Mabeberu wanataka kutuhujumu, hawajui kwamba juhudi za magufuli na wapambe wake zimetufikisha kwenye uchumi wa kati tena tunakaribia uchumi wa juu kweri kweriKitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Wapo bize na vietee, hawana hii habari
| Rate | 2014 to 2020 |
|---|---|
| Small profits rate (companies with profits under £300,000) | 19% |
| Main rate (companies with profits over £300,000) | 30% |
| Ring fence fraction | 11/400 |
SiSi ni dona kantry 🤣🤣🤣🤣1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...
2. Kwa kesi hii, maana yake 28,000,000 wanaishi katika umasikini wa kutupwa (abject poverty)...
3. I agree. Kwa sababu ukitembea maeneo ya vijijini, hali ya maisha ya watu bado ni mbaya sana..
4. Indicator ya kwanza inayokuonesha kuwa watu wako ktk hali ya umasikini wa hatari, ni makazi (nyumba) wanazoishi...
5. Kwenye ishu ya makazi (nyumba), unaweza ukifika kwenye kijiji chenye kaya 2,000, ni kaya zisizozidi 50 pekee kijiji kizima ndiyo wanaishi ingalau kwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati huku kaya 1,950 zikiwa zinaishi kwenye makaazi (nyumba) duni zilizoezekwa kwa nyasi na udongo juu maàrufu kama "tembe" ambazo ni hatarishi kupita maelezo...!!
6. Kwa hakika kabisa, huwezi kutumia mabilioni ya fedha kujengea nyumba za kifahari marais wastaafu, Rais wa nchi kujijengea uwanja mkubwa wa ndege na michezo kijijiji kwako huku wananchi wako wakiwa wanaishi maisha ya umasikini uliopindukia kama hawa 28,000,000...!!
KWA HAKIKA watu tunahitaji FREEDOM, JUSTICE & PEOPLES' CENTERED DEVELOPMENT..
Hii ndiyo maana ya uchaguzi huu mkuu wa 2020.!!!
Hizi zitakuwa takwimu za kupika tu. Kwa mfano , nchini Tanzania mitandao ya barabara, maji na umeme vijijini, shule (pamoja na wanaojua kusoma na kuandika) viko juu ukilinganisha na nchi nyingi Kusini mwa Afrika.Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Jamani hivi hii gari inaitwa 'vii eite' ni toleo jipya nini, maana nimesikia vigogo wa chama chetu pendwa wanaitembelea..Wapo bize na vietee, hawana hii habari
Ni washamba, mtu unaita media eti unazunhumzia kutembelea vieteee bila hata aibu, badala azungumzie changamoto zinazowakabili wananchi na namna ya kuzitatua, anaringishia vietee, jamaa mshamba sijapata onaJamani hivi hii gari inaitwa 'vii eite' ni toleo jipya nini, maana nimesikia vigogo wa chama chetu pendwa wanaitembelea..
Ni robo tatu ya watanzania mkuu, ni maskini na hawajie kesho yaoHii maana yake nusu ya watanzania ni maskini wa kutupa
Shame ! Kwa rasilimali zilizopo hakukutakiwa kuwe na masikini Tanzania.Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Your networthy in USD pleaseYaah! Nimefurahi kusikia hivyo ili niendelee kupambana zaidi ili kuitoa nchi yangu kwenye hiyo list.
Naamini Jitihada zangu ndo zitafanya maisha yangu kuwa mazuri au mabaya hayo mengine yaliyobaki Niya watu wazembe na watu wa kulia lia.
Tunasafari ndefu sana ya kujikwamua na umasikini...au tunatumia billion 495 kununua ndege tusizozihitaji.
..fedha hizo zingeweza kujenga vyuo 49 vya ufundi na kubakisha chenji.