WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?

Kitu kidogo tu angalia gharama kubwa tunazotozwa kwenye hii miamala ya simu. Ukitumiwa 800,000 hapa tanzania unakatwa si chuni ya elf 7000. Wakati kenya shilingi elf 40000(800,000 tz) unakatwa 105(2,000) wastani. Unaona??
 
Waambie hao Mabeberu tuna Maflyover mawili ikifika mchana na jioni yanageuka kuwa chakula.
 
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara

Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

View attachment 1605300

Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017

View attachment 1605304
View attachment 1605316
Nimetafuta web site nimekutana na hii report kama ilivyo hapa chini

Which are the poorest countries in the world?​

large_PBrUnGBmWLCYj2HALg0KkWo9v2HKy5tcTMZXhvm_P3Y.jpg

16 Jul 2015
  1. Barbara Tasch,

Out of the 23 poorest countries in the world, 19 are located in Africa, according to an analysis by the Global Finance Magazine.
Based on data from the IMF, the magazine ranked the world’s countries according to their GDP per capita and determined the poorest and richest ones.
The analysis also used a Purchasing Power Parity (PPP) basis, which takes into account the living cost and inflation rates, in order to compare living standards between the different nations.
Some small territories, such as Liechtenstein, Nauru, Vatican City, Monaco, San Marino and Andorra were not included in the study.
The Democratic Republic of Congo (DRC) ranks in as the poorest country in the world based on its GDP per capita over the 2009-2013 period.
With DRC citizens earning on average $394.25 a year, the country stands in sharp contrast with Qatar — where people earn an average of $105,091.42 a year.
Following the Democratic Republic of Congo are Zimbabwe, where in 2013 people earned $589.25 on average, Burundi, where they earn $648.58 a year, and Liberia, where people earn $716.04 on average.
screen shot 2015-07-13 at 8.17.49 am
Global Finance Magazine. Map of the richest and poorest countries in the world – Dark red: highest GDP per capita, Light red: lowest GDP per capita
The first non-African country on the list is Afghanistan, which comes in at the 10th place. It is also the first country where the average annual income passes the $1,000 threshold with $1072.19.
The other non-African countries on the list of the poorest 23 countries in the world are Nepal, Haiti, and Myanmar.
Here is the list of the 23 poorest countries in the world (and here’s the full study):
150714-poorest countries
This article is published in collaboration with Business Insider. Publication does not imply endorsement of views by the World Economic Forum.
To keep up with the Agenda
subscribe to our weekly newsletter.
Author: Barbara Tasch is a news intern for Business Insider.
Image: A woman waits at a camp for people who have been displaced by a landslide at the Koslanda tea plantation near Haldummulla. REUTERS/Dinuka Liyanawatte

Share
Na link nitaweka na wewe tuweke hiyo link maana kuna watu kwa kutengeneza movies ni grade 2 f
Link
Which are the poorest countries in the world?
 
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara

Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

View attachment 1605300

Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017

View attachment 1605304
View attachment 1605316
 
Attachments

  • VID-20180524-WA0001.mp4
    6.4 MB

Mabeberu wanataka kutuhujumu, hawajui kwamba juhudi za magufuli na wapambe wake zimetufikisha kwenye uchumi wa kati tena tunakaribia uchumi wa juu kweri kweri
 
Lissu achukue hii akafungie kampeni. This is very important.
 
The United States imposes a tax on the profits of US resident corporations at a rate of 21 percent (reduced from 35 percent by the 2017 Tax Cuts and Jobs Act). The corporate income tax raised $230.2 billion in fiscal 2019, accounting for 6.6 percent of total federal revenue, down from 9 percent in 2017.

UK corporate tax rate
Rate2014 to 2020
Small profits rate
(companies with profits under £300,000)
19%
Main rate
(companies with profits over £300,000)
30%
Ring fence fraction11/400

Corporate tax is payable by Tanzanian companies on their worldwide taxable income at the rate of 30%. Value Added Tax is generally charged at the standard rate of 18% on any supply of goods or services in mainland Tanzania.

How much is VAT in England now?
The standard rate of VAT in the UK is 20%, with about half the items households spend money on subject to this rate. There is a reduced rate of 5% which applies to some things like children's car seats and home energy.Sep 24, 2020
 
1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...

2. Kwa kesi hii, maana yake 28,000,000 wanaishi katika umasikini wa kutupwa (abject poverty)...

3. I agree. Kwa sababu ukitembea maeneo ya vijijini, hali ya maisha ya watu bado ni mbaya sana..

4. Indicator ya kwanza inayokuonesha kuwa watu wako ktk hali ya umasikini wa hatari, ni makazi (nyumba) wanazoishi...

5. Kwenye ishu ya makazi (nyumba), unaweza ukifika kwenye kijiji chenye kaya 2,000, ni kaya zisizozidi 50 pekee kijiji kizima ndiyo wanaishi ingalau kwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati huku kaya 1,950 zikiwa zinaishi kwenye makaazi (nyumba) duni zilizoezekwa kwa nyasi na udongo juu maàrufu kama "tembe" ambazo ni hatarishi kupita maelezo...!!

6. Kwa hakika kabisa, huwezi kutumia mabilioni ya fedha kujengea nyumba za kifahari marais wastaafu, Rais wa nchi kujijengea uwanja mkubwa wa ndege na michezo kijijiji kwako huku wananchi wako wakiwa wanaishi maisha ya umasikini uliopindukia kama hawa 28,000,000...!!

KWA HAKIKA watu tunahitaji FREEDOM, JUSTICE & PEOPLES' CENTERED DEVELOPMENT..

Hii ndiyo maana ya uchaguzi huu mkuu wa 2020.!!!
SiSi ni dona kantry 🤣🤣🤣🤣
 
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara

Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

View attachment 1605300

Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017

View attachment 1605304
View attachment 1605316
Hizi zitakuwa takwimu za kupika tu. Kwa mfano , nchini Tanzania mitandao ya barabara, maji na umeme vijijini, shule (pamoja na wanaojua kusoma na kuandika) viko juu ukilinganisha na nchi nyingi Kusini mwa Afrika.
 
Jamani hivi hii gari inaitwa 'vii eite' ni toleo jipya nini, maana nimesikia vigogo wa chama chetu pendwa wanaitembelea..
Ni washamba, mtu unaita media eti unazunhumzia kutembelea vieteee bila hata aibu, badala azungumzie changamoto zinazowakabili wananchi na namna ya kuzitatua, anaringishia vietee, jamaa mshamba sijapata ona
 
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Shame ! Kwa rasilimali zilizopo hakukutakiwa kuwe na masikini Tanzania.
 
Yaah! Nimefurahi kusikia hivyo ili niendelee kupambana zaidi ili kuitoa nchi yangu kwenye hiyo list.

Naamini Jitihada zangu ndo zitafanya maisha yangu kuwa mazuri au mabaya hayo mengine yaliyobaki Niya watu wazembe na watu wa kulia lia.
Your networthy in USD please
 
..au tunatumia billion 495 kununua ndege tusizozihitaji.

..fedha hizo zingeweza kujenga vyuo 49 vya ufundi na kubakisha chenji.
Tunasafari ndefu sana ya kujikwamua na umasikini.
 
Utafiti hujibiwa kwa utafiti,nategemea ofisi ya taifa ya takwimu itatoa taarifa kamili,
Nategemea wahusika wataeleza wamechukua data zipi na njia ipi wametumia.
Tanzania kwa sisi tulio tembea tunaona hakuna maskini wa kukosa Tshs 3000 ya kula kwa kila mtu ambao ni wengi kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom