ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
July 2024,Benki ya Dunia imetoa takwimu za Uchumi wa Nchi mbalimbali Duniani.
Taarifa hiyo imeonesha Uchumi wa Tanzania umekua na kuongeza kutoka Dola Bilioni 69 mwaka 2021 Hadi kufikia Dola Bilioni 80 mwaka 2023 ikiwa ni ongezeko kubwa ndani ya mda mfupi.
Kwa mujibu wa Takwimu za Ukuaji wa Pato la Taifa inakadiriwa mwaka 2025 Uchumi wa Tanzania utafikia Dola Bilioni 90 (GDP) kama Kasi ya asilimia 6% itafikiwa.
My Take
Kwa uwekezaji unaoendelea kwenye sekta ya Kilimo na kumiminika Kwa wawekezaji wa ndani na Nje kwenye sekta za viwanda na Biashara,tutarajie Tanzania ya Samia kufikia Uchumi wa GDP ya $ 120 Bilioni mwaka 2030 ambapo tutakuwa sawa au Juu ya Kenya ambayo Ina GDP ya $ 107 Bilion Kwa Sasa.
Hongera Rais Samia & Mwigulu ,juhudi ya jasho lenu zinazaa matunda.
View: https://www.instagram.com/p/C-2mkzNCr-y/?igsh=anh6ZnJmYTU1OGZo