Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Mbona hapo juu kwenye graph inasomeka $ 104?Kenya ambayo Ina GDP ya $ 107 Bilion Kwa Sasa.
My take: Kama raisi wetu atafanya maamuzi magumu ya hifadhi yetu ya chuma cha Liganga/ Mchuchuma, kama ambavyo mtangulizi wake alivyofanya kwa umeme kule Stigler's gauge, uchumi wetu utakuwa wa kiwango kinachokaribia cha South Africa. Tumshawishi afanye hivyo kwa pesa zetu wenyewe hata kama ni za mkopo. Kiwe mali yetu 100%. PPP au mdudu mwingine asiingie hapa.