MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wakati msanii Rich Mavoko akifikisha umri wa miaka 21 na hivyo kumfanya kuwa moja ya madogo wachache wanaocontrol industry,uongozi wa WCB umeamua kufanya kitu tofauti kabisa kwa kuporomosha bonge la sherehe maeneo ya South Africa.
WCB wamesema party hiyo iko wazi kwa mtanzania yyt ambaye yuko tayari kujilipia nauli ya kwenda na kurudi .hali hiyo imepokelewa tofauti na wadau wa burudani ambapo wengine wamedai ni njia nzuri ya kuzuia midananda.
Kwa maana nyingine itabidi ulipie nauli ya kwenda na kurudi South Africa ili kupata nafasi ya kupiga selfie na sahani ya chakula.
Mpaka leo asbh mfalme wa mitandao amethibitisha kuwa hatoweza kuhudhuria sherehe hiyo kutokana na gharama za maisha kuwa juu.
Mdau wa burudani nini maoni yako kuhusu Mavoko kushine katika umri mdogo?