WCB: Birthday ya 21 ya mavoko,sherehe tunafanyia South Afrika.

WCB: Birthday ya 21 ya mavoko,sherehe tunafanyia South Afrika.

Nakumbuka mwanzoni kabisa wakati ndio anaanza kutoka alisema kazaliwa 1991 alikua anahojiwa akiwa kwao,nimesahau ilikua Ni kipindi gani...sasa hiyo 21 vipi au amesahau alichoongea hapo swali?
 
Uchoyo na rohombaya, mcheza kwao hutuzwa!
Mavoko yuko vizuri lakini akumbuke bado sana kimaisha, angetunisha kibubu kwanza bado akiwa na nguvu maisha hayana formula
Msanii Mr Nice alikuwa na uwezo wa kulipia hotel mbili za ghorofa na watu wanywe na kulala bure leo yuko wapi mifano ni mingi lakini akumbuke hili ...money is like melting ice in the sun it never stays
Mr. Nice anajua alipokosea nina kimani na hawa wanajua, tusiwaombee wafike huko. most important wa invest kama boss wao Mondi. Mr. Nice alisahau kama kuna kesho aliiona leo tu.
 
d5e8b8134371237767985487b8a5284f.jpg

Nimeona Bomboraida ya King inatake off hapa JKIN mida hii to South "yoooooooooo"
 
Hahahaha Msagasumu katika ubora wako naona Leo unawatoa mapovu nasikia baada ya kuzima mic watu wamezima tuzo
 
Mhhh...aisee hiyo miaka sina uhakika ila sio mkubwa sana, nakumbuka nilikuwa namuona tangu shule msingi na secondari lakini miaka ya mtu yy ndo mwenye authority au mzazi wake. Ulizeni waliosoma nae secondary pale mchikichini kama sikosei
 
Muda si mrefu tutasikia habari za mtoa post kavuliwa uanachama wa JF kwa muda usiojulikana
 
Aya maisha tuu

Yan mi najifikilia mchana ntakula nin na family yangu watu wamesha andaa mazingira ya kwenda kula bata SA
 
Aya maisha tuu

Yan mi najifikilia mchana ntakula nin na family yangu watu wamesha andaa mazingira ya kwenda kula bata SA
Na wengine tunapigiwa simu na family zetu zinatuambia jana hawakula chakula leo usipo tuma hela na leo watashinda njaa afu watu wanapanga safari kwenda south kufanya birthday duh
 
Back
Top Bottom