Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Miaka 21 kwenye sanaa au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi tayari niko South,nyie mtakula instagram u knowKwasisi wazamiaji sherehe hii imekula kwetu
mkuu hii n kweli according to WCB
huo ndio umri wake mkuu,au unataka kusema ana miaka 17?Mleta uzi acha uchochezi..nashauri mods wakupige ban kama hutotoa utani kwenye umri wa mtu
Mr. Nice anajua alipokosea nina kimani na hawa wanajua, tusiwaombee wafike huko. most important wa invest kama boss wao Mondi. Mr. Nice alisahau kama kuna kesho aliiona leo tu.Uchoyo na rohombaya, mcheza kwao hutuzwa!
Mavoko yuko vizuri lakini akumbuke bado sana kimaisha, angetunisha kibubu kwanza bado akiwa na nguvu maisha hayana formula
Msanii Mr Nice alikuwa na uwezo wa kulipia hotel mbili za ghorofa na watu wanywe na kulala bure leo yuko wapi mifano ni mingi lakini akumbuke hili ...money is like melting ice in the sun it never stays
nyie ndio mnafanya kibakuli adharaulike![]()
Nimeona Bomboraida ya King inatake off hapa JKIN mida hii to South "yoooooooooo"
Watoto wa kuanzia 95 wanakuaa sana sijui wanakula nini....Yule mzee vile ana miaka 21?Hapana kwakweli huu uongo haukubaliki
Na wengine tunapigiwa simu na family zetu zinatuambia jana hawakula chakula leo usipo tuma hela na leo watashinda njaa afu watu wanapanga safari kwenda south kufanya birthday duhAya maisha tuu
Yan mi najifikilia mchana ntakula nin na family yangu watu wamesha andaa mazingira ya kwenda kula bata SA