WCB hamko serious na Videos mnazotoa sikuhizi

Show me ndo video ipi hiyo mkuu na ya nan
 
Hawa watu hawana jipya! Nampenda diamond na nyimbo zake sababu zimechangamka and all lakini everything about Wasafi inanikera!!! Wanaigana kila kitu, hamna jipya... Sauti zile zile, wote wanataka imba kama diamond. Yaani creativity ni zero
Rayvany mm ndo nayemkubali hao wengine wanabana pua tu , wanalazimisha sauti ila ray yuko vizur
 
Na raymond naye kunasiku nilikutana naye nika'act kumtania mwili unauachia akasema anajpanga kurudi gym,
nayeye naona ''ANANENEPA WASAFI KUPIGA SELFIE NA TIFFAH''
mwili wake hauuziki tena skuhizi, ajipange arudi mazoezini
Mm napenda sauti yake tu hivo vingine ampe fahma[emoji14] [emoji14]
 
Subscribe kwenye Account yetu ya You Tube @Nafia Afrika.com
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, hao jamaa wanakosoaga na vitu visivokua vya kukosoa kabsaa………!!!
 
Hii show me hawakujipanga kabisa naweza amini walimuibia jamaa mmoja analalamika sana insta kua ngoma ni yake
 
Ila kale ka dada kwny wimbo wa Show Me pale mwanzoni kanakata mauno jamaani mwe!! Hivi unawezaje kukata mauono huku umechuchumaa halafu muda huohuo unatembea huku unarembua!!!
 
Anaye fanya vizuri lazma aigwe sasa tatizo liko wapi kumuiga boss wao ?
 


Wakati umefika watizamaji inabidi tuandamane ili Bongo fleva ife....tunataka muziki wa kwetu wa asili si hii ya kinigeria ikiimbwa kwa Kiswahili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ma director wameisha idea
 
Na raymond naye kunasiku nilikutana naye nika'act kumtania mwili unauachia akasema anajpanga kurudi gym,
nayeye naona ''ANANENEPA WASAFI KUPIGA SELFIE NA TIFFAH''
mwili wake hauuziki tena skuhizi, ajipange arudi mazoezini
kwakweli
na yeye pia habadiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…