kina nan,?Mpaka umesema mwisho Dar maana yake unawafahamu.....
Wakina bullarkina nan,?
Ningekuwa majizo ningetumia weakness ya clouds kuwa promote hawa wasanii. Majizo ugomvi wa diamond kumchapa mobetto analeta utoto.Kama hupendi na kufuatilia kashfa zao Utapenda nyimbo zao.
Wanasuswa na media wanasahau dunia ya Leo ni ya kidital ni online advertisement inakutoa.
Kupitia smart phone unaweza kukaa mwaka husikilizi radio wala kuangalia TV na taarifa zote unapata.
98% ya watumia smart phone wanawafollow WCB member katika watumiaji 100 wa instragram 2 tu kuna uwezekano hawana interest waliobaki wanawafuatilia.
NB: Ni ngumu kwa sasa kuwashusha watu ambao ni chanzo cha habari
WCB for life tukutane Leo mwembe yanga.
Anafungua wasafi FM/TV + na radio zingine fresh tu.Ndiooooooooo
Jidanganyeni tu media zina power ktk kuboost msanii,kuna Beyonce wana followers zaidi ya 98m lkn wakitoa wimbo wanaenda radio kwa launching kwanini asiende live kwenye Instagram au Facebook tu?
Hawa ambao bado network vichwani mwao bado inasoma 2G lazima watashushwa na ndio hao ambao kila siku hawaishi kulalamika!!!Leo walikuwa live online kwenye show yao ya Mwembe Yanga ni noma. Mimi niliangalia nikiwa upande mwingine wa Dunia, ndio hapo ujue hizi Radio na TV haziwezi kumshusha msanii yoyote kwa sasa.