IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Kama hupendi na kufuatilia kashfa zao Utapenda nyimbo zao.
Wanasuswa na media wanasahau dunia ya Leo ni ya kidital ni online advertisement inakutoa.
Kupitia smart phone unaweza kukaa mwaka husikilizi radio wala kuangalia TV na taarifa zote unapata.
98% ya watumia smart phone wanawafollow WCB member katika watumiaji 100 wa instragram 2 tu kuna uwezekano hawana interest waliobaki wanawafuatilia.
NB: Ni ngumu kwa sasa kuwashusha watu ambao ni chanzo cha habari
WCB for life tukutane Leo mwembe yanga.